Nawakumbusha kuwaombea watoto wetu maana siyo kila muda tupo nao karibu

Nawakumbusha kuwaombea watoto wetu maana siyo kila muda tupo nao karibu

Inawezekana, ni suala la muda tu watu wapo maabara sasa hivi, na uzuri mother nature inasapoti
uzuri mnaosapoti hayo ni 1/100. Ila acha chuki dhidi yetu kama kuna lililowahi kufanyika dhidi yako samehe maisha yaendelee. Unadhani huko maabara watafyatuliwa wakike tu? Daktaaaari natamani niandike mengi ila nashindwa kwa sababu hutaki kuchange na huoneshi dalili hizo.
 
Back
Top Bottom