Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
wewe ni mtu wa ajabu sanaKumbe unahisi basi nilijua una uhakika [emoji23]
Hii gender ifutike tu, dunia ibaki salama, mtayamaliza yote leo ila haifuti uovu wenu
wewe ni mtu wa ajabu sanaKumbe unahisi basi nilijua una uhakika [emoji23]
Hii gender ifutike tu, dunia ibaki salama, mtayamaliza yote leo ila haifuti uovu wenu
Ni msagaji mbobevu huyo kwenye uzi wake alisema inafikia kipindi anatuonea wivu wanaume tunavyowala wanawake wenzake
Ofcourse hawawezi, sababu hiyo gender sijawahi kuipa nafasi kwenye maisha yangu ila siwezi kunyamaza nikiona wanawake wenzangu wakiteseka sababu ya gender yenuHahaaa, umeona unavyotaka kujifariji,
Hivi unadhani wenzako wote wanapitia unayopitia wewe?
Weeee! Sema kweli uzuri wangu sibaki wala silawiti, [emoji23]wewe ni mtu wa ajabu sana
na wasagaji ndivyo walivyo, wanatamani wanaume tupotee ili wabaki na wanawake zetu
Mkuu umenichekesha katikati ya huzuni hii kubwa.Ningekuwa hakimu hapo hukumu yangu ingekuwa kumkabidhi huyo mtuhumiwa kwa baba wa mtoto na ndugu zake waende nae nyumbani mtuhumiwa wao 'wakayamalize'.
Hahahahahahahaha mbavu zangu, hoja zimeisha sasa [emoji1787]Ni msagaji mbobevu huyo kwenye uzi wake alisema inafikia kipindi anatuonea wivu wanaume tunavyowala wanawake wenzake
Oya Maisha utayaona magumu sasa wewe ajuzaa,Ofcourse hawawezi, sababu hiyo gender sijawahi kuipa nafasi kwenye maisha yangu ila siwezi kunyamaza nikiona wanawake wenzangu wakiteseka sababu ya gender yenu
Kama tunawapa faraja shida iko wapi?na wasagaji ndivyo walivyo, wanatamani wanaume tupotee ili wabaki na wanawake zetu
hiyo sio hoja ya mtu anaedhamiria kujenga. We uandani ungekuwepo bila ya mwanaume? unamuheshimu na kutambua uwepo wa baba yako kweli? Au ndio chanzo cha hali uliyonayo?Weeee! Sema kweli uzuri wangu sibaki wala silawiti, [emoji23]
Uzee ni baraka nimeupokea ajuza mimi,[emoji120]Oya Maisha utayaona magumu sasa wewe ajuzaa,
Tunakuambia ukweli wa mambo usagaji umekufikisha pabaya sanaHahahahahahahaha mbavu zangu, hoja zimeisha sasa [emoji1787]
Wewe utakua umelegea natiiUzee ni baraka nimeupokea ajuza mimi,[emoji120]
Ila kubwa acheni ukatili wa watoto mtaisha sana
Bora lingefuata hata vichaa mtaaniHilo jamaa ni jitu la hovyo kabisa.
faraja ipi hiyo? mbona mnarudi kwetu kama huko panawatosha? Kama wewe n msagaji sasa naelewa kwanini upo hivyo, nna mtu wa karibu amewahi kuwa hivyo lakini sasa amebadilika, tafuta msaada mkuu.Kama tunawapa faraja shida iko wapi?
Mmewatesa sana.
Baba yangu hakuwahi kua katili, alitupenda bila ubaguzi, alitupa elimu bora na maisha mazuri,hiyo sio hoja ya mtu anaedhamiria kujenga. We uandani ungekuwepo bila ya mwanaume? unamuheshimu na kutambua uwepo wa baba yako kweli? Au ndio chanzo cha hali uliyonayo?
Acha usagajiii,Wanaume wenyewe ndio nyie mnaobaka watoto wa miaka 7 na kulawiti watoto wa miaka 5,
Nyie ni moto tu, mtachomwa sana acheni kujifariji
faraja ipi hiyo? mbona mnarudi kwetu kama huko panawatosha? Kama wewe n msagaji sasa naelewa kwanini upo hivyo, nna mtu wa karibu amewahi kuwa hivyo lakini sasa amebadilika, tafuta msaada mkuu.Kama tunawapa faraja shida iko wapi?
Mmewatesa sana.