Nawakumbusha kuwaombea watoto wetu maana siyo kila muda tupo nao karibu

uzuri mnaosapoti hayo ni 1/100. Ila acha chuki dhidi yetu kama kuna lililowahi kufanyika dhidi yako samehe maisha yaendelee. Unadhani huko maabara watafyatuliwa wakike tu? Daktaaaari natamani niandike mengi ila nashindwa kwa sababu hutaki kuchange na huoneshi dalili hizo.
Ungeandika mengi kuwabadilisha wanaume wenzio waovu najua hata wewe una uovu wako badilika... usitafute huruma na kujinyongesha, wanaume ni janga kwenye hii dunia.... period
 
Wewe una matatizo makubwa sana ya kisaikolojia. Nahisi kuna mtu wa karibu wa jinsia ya kiume alikuumiza sana kiasi kwamba umeona wanaume wote tuko hivyo. Pole sana unahitaji msaada wa kisaikolojia
anapiga vita ukatili na ubakaji kwa njia ambayo sio sahihi, yeye anaeneza chuki badala ya kutoa elimu
 
Ungeandika mengi kuwabadilisha wanaume wenzio waovu najua hata wewe una uovu wako badilika... usitafute huruma na kujinyongesha, wanaume ni janga kwenye hii dunia.... period
Wewe umeachwa sbb ya Matatizo yako..
Wako wanawake wenzako wanaojielewa wanaishi kwenye mahusiano yenye furaha,
 
Ungeandika mengi kuwabadilisha wanaume wenzio waovu najua hata wewe una uovu wako badilika... usitafute huruma na kujinyongesha, wanaume ni janga kwenye hii dunia.... period
nna maovu yangu kama binadamu sikatai ila sio kuichukia gender yote kisa baadhi ya washenzi.
 
Wewe una matatizo makubwa sana ya kisaikolojia. Nahisi kuna mtu wa karibu wa jinsia ya kiume alikuumiza sana kiasi kwamba umeona wanaume wote tuko hivyo. Pole sana unahitaji msaada wa kisaikolojia
Kumbe unahisi basi nilijua una uhakika [emoji23]

Hii gender ifutike tu, dunia ibaki salama, mtayamaliza yote leo ila haifuti uovu wenu
 
Back
Top Bottom