Nawakumbusha waTanzania kuwa kuandamana bila bima ya Afya kwa wote ni hatari sana!!

Nawakumbusha waTanzania kuwa kuandamana bila bima ya Afya kwa wote ni hatari sana!!

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
2,783
Reaction score
2,396
Ni kweli mnaweza kuandamana hiyo 29.10.2025 ila ni hatari sana iwapo hauna bima ya afya kwani utahitaji matibabu baada ya kipigo na utaenda kutibiwa kwa gharama sana.

Tujitafakari!
 
Unaweza usiandamane ukagongwa na pikipiki bado ukatibiwa kwa gharama kubwa bila bima.
Waache waandamane watakaopona watapata huduma ya afya bure au ajira za kuwapatia kipato cha kuosha kulipia bima wakisha waondoa wahuni kushika hatamu ya nchi yao.
 
Hio Bima inapatikana vipi zaidi ya kuidai ? Kesho yetu ni ngumu sana ingawa sisemi kwamba haya maandamano ndio yataleta mabadiliko (Hapana bali huenda ndio yakatumika zaidi kwa watu kupiga propaganda kwamba watu wenye grudges ni hooligans na sio wanaotaka Haki zao); Kwahio ushauri wangu madai sio ya kusubiri siku fulani au kutumia mbinu za kuweza kuumiza baadhi yenu; bali madai ni muendelezo wa kila siku kufikisha kero zenu bila kuchoka; mfano achana na Bima tu hawa wabangaizaji wa leo kesho yao itakuwaje ?!!!

 
Muhimu kuanza na Bismillah
Maliza na Alhamdulillah.
Bima si Assurance ni Insurance.
Tutawakal na TUTOKE.
 
Hamna muandamanaji hapa hao wajinga tu waliojibu hapo juu hata bima ya afya ni msamiati kwao.
Waache wakavunjwe huko ndugu zao waanze kuchanga kuwauguza.
 
Ni kweli mnaweza kuandamana hiyo 29.10.2025 ila ni hatari sana iwapo hauna bima ya afya kwani utahitaji matibabu baada ya kipigo na utaenda kutibiwa kwa gharama sana.

Tujitafakari!
Umekuwa mpumbavu sana mbona unaweza ukaumwa na una bima . Sasa wew ndio unaona maandamano ndio kinaweza kuwa kisababishi 😂😂😂😂😂😂

Unaweza kaa ndani utakafa pila hata kuandamana kwa hiyo hivyo vitu ni mpango tu wa mungu
 
Jana wameandamana, leo watoto wetu wameenda shule bila hofu ya kuumizwa kupambania usafiri.

Hatufanyi haya mambo kwa ajili yetu, mheshimu sana mtu anayeingia barabarani kupaza saito kwa ajili ya wengi. Huyo mtu sio mbinafsi.
 
Back
Top Bottom