Me nakulaumu wewe kwa kukosa akili na maamuzi yako ya kitoto.
Mwanamke mliachana, akakuonyesha dharau na mapozi ya kijinga yasiyo na mbele wala nyuma. Umebahatika kupata mwanamke ambae kakubali kuolewa na wewe na kuishi kwa utulivu, then anakuja huyo mwehu unaanza nae mazoea tena..... Huo ni ufala.
Hivi kwanza unabembelezaje mtu kuishi na wewe?! Katika hali ya kawaida mtu akishasema hapana na haeleweki ana sababu gani kichwani na hayupo direct wewe temana nae mazima.
Achana na kubembeleza. Mwanamke unaetakiwa kumpenda na kumpa moyo wako ni mke wa ndoa tu.... Hawa unaokutana nao katika mawindo sio wa kuwapa attention kiasi hicho.......
Sent using
Jamii Forums mobile app