Nawalaumu wanaume wanaotelekeza watoto, japokuwa wadada mmezidi kutubambikia watoto

Kwenye sheria akienda mpaka mwenyewe atajishangaa.
Ni sehemu nzuri ya kupunguziwa majukumu kwa wanaume tunaoteseka na kulea wanawake na ndugu zao kisa watoto wetu.
Unaweza kuta ulikuwa unampa 300000 ukaishia kuambiwa upeleke 65300
Ha ha ha
 
kweli mkuu.
hahaha
 
Ukishaoa, move on bora utafute mchepuko mwingine lakini si X especially kwa kesi yako. Anafight kuvunja ndoa yako na nakuhakikishia! Unaenda kufeli kwa kupitia ujinga wa kuwa bado una mapenzi nae!!
Nimekuelewa ndugu
 
Subiri mpaka atakapokuroga ukasahau familia yako ndo utuletee mrejesho hapa
 
Huwana ninasikitika sana, ninapompenda binti kiukweli halafu yeye anakuwa nahisia za kumuacha. Halafu akiona ninamwingine anaanza kunisumbua. Sijui huwa wana nn hawa.
 
Ndugu now ninalea Mimba hata mimi nimeshaletewa Mimba, doctor amesha confirm ni muda ule ule tuliokutana sema lazima nijihakikishie akizaliwa
 
Huwana ninasikitika sana, ninapompenda binti kiukweli halafu yeye anakuwa nahisia za kumuacha. Halafu akiona ninamwingine anaanza kunisumbua. Sijui huwa wana nn hawa.
kabisa mkuu
 
Back
Top Bottom