Uchaguzi 2020 Nawamegea siri: 'Bakuli la Lissu' lijazwe michango, linasaidia kuruka kiunzi kikuu mwaka huu

Uchaguzi 2020 Nawamegea siri: 'Bakuli la Lissu' lijazwe michango, linasaidia kuruka kiunzi kikuu mwaka huu

Kwani ile michango waliokuwa wanakatwa wabunge kwa ajili ya uchaguzi iko wapi? Wananchi wana hali mbaya kwa nini muwachangishe?
Ww nenda kwenye vikao vya CCM chukua fulana na 20,000. Uza kura yako. Sisi wengine tusiokuwa na njaa za kipuuzi tutachanga.
 
Tutume michango ndugu zangu. Hili zoezi inabidi liishe bila kukwamakwama hata kidogo. Lissu lazima aingie Ikulu.

Mimi tayari nishatuma wangu.
 
Back
Top Bottom