Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Wewe ni mtu wa kutoa shutuma kwa hisia tu.Kuna sheria gani inayomzuia Magufuli kufanya atakacho nchi hii?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni mtu wa kutoa shutuma kwa hisia tu.Kuna sheria gani inayomzuia Magufuli kufanya atakacho nchi hii?
hamna tabu wakitembea na maguful na hata maguful akishinda hakuna neno kabisa lakin ashinde kiuhalal ndan ya sanduku la kura, kinyume cha hapo akishinda kimagumashi kama alivyoanza kuwaondoa wabunge na madiwan wa upinzani kimagumushi basi tunaye...tutadili naye nje ndanWameamua kutembea na Magufuli siyo nyie viwavi jeshi msiotaka kusikia harufu ya pesa
wewe ndo huelewei nyumbu mkubwa wewe. hivi toka Chadema wameanza kupokea ruzuku 2016 mpaka leo ni takribani bilioni 40. wamezifanyia nini? hawajajenga hata ofisi za wilaya. bado kuna michango ya wabunge walikua wanachukua kila mwezi viti maalum mil.2 na wabunge wa majimbo mil 1.5. fedha hizi zote walishindwa kutenga fedha za kugharamia uchaguzi? waache kuwatapeli watanzania
Wewe ni mtu wa kutoa shutuma kwa hisia tu.
Udhaifu upo kila sehemu. Kwasbabu hizi taasisi zinaongozwa na watu siyo malaika. Lakini angalau CCM ilianza kuchukua hatua ya kuhakiki mali zake ambazo nyingi zilikua hazikinufaishi chama bali watu wachache. Chadema kama chama kinachopigania kuchukua dola, kilitakiwa kitumie kila rasilimali iliyonayo kuhakikisha inazielekeza kwenye malengo hayo. Lakini cha ajabu rasimali chache ilizonazo zinaishia kwenye mikono ya wachache. Sasa hiyo ndoto ya kuchukua dola wataifikia lini?Uko sahihi kabisa na hoja yako naikubali sana. Ccm ni chama pekee kilichokaa madarakani muda wote ndani ya nchi hii. Asilimia 75 ya majengo yake, zikiwemo ofisi na viwanja vya mpira ilivirithi toka mfumo wa chama kimoja. Pitia hizo ofisi zote na viwanja vya mpira uje utoe mrejesho vina hali gani, na ni mabadiliko gani yamefanyika toka irithi mali hizo. Hapo tutaweza kupima vizuri udhaifu wa Cdm v/s ccm.
Wajinga (Wafuasi wa Chadema) ndio waliwao!Mnasema hatupo kwenye uchumi wa Kati.
Wananchi ni maskini,
Halafu mnatembeza bakuli kwa maskini.
Kwa hiyo hiyo sheria inavunjwa kipindi hiki tu ambapo JPM ni rais? Maana wewe kila shutuma ni JPM tu ndio mkandamizaji.Sina chembe ya shaka na maelezo yangu.
Udhaifu upo kila sehemu. Kwasbabu hizi taasisi zinaongozwa na watu siyo malaika. Lakini angalau CCM ilianza kuchukua hatua ya kuhakiki mali zake ambazo nyingi zilikua hazikinufaishi chama bali watu wachache. Chadema kama chama kinachopigania kuchukua dola, kilitakiwa kitumie kila rasilimali iliyonayo kuhakikisha inazielekeza kwenye malengo hayo. Lakini cha ajabu rasimali chache ilizonazo zinaishia kwenye mikono ya wachache. Sasa hiyo ndoto ya kuchukua dola wataifikia lini?
Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo hiyo sheria inavunjwa kipindi hiki tu ambapo JPM ni rais? Maana wewe kila shutuma ni JPM tu ndio mkandamizaji.
Mbona hujibu maswali yangu? Alafu unapandisha swali lingine!Kwani hao wengine walikuwa wazalendo kama JPM?
Kama hana hela unataka afanye nini ? Kwani ni dhambi Lissu kuomba michango kwa walalahoi ?Jibu swali langu la kwanza. Mimi namnukuu Lissu anadai wananchi wapo hoi kwa miaka mitano,kwa nini anawachangisha?
Zipo baadhi ila kwa sasa nyingi bado zinambebaKuna sheria gani inayomzuia Magufuli kufanya atakacho nchi hii?
Dhambi sababu wabunge walichangia bil 8 alafu mwenyekiti akazitafuna. Sasa mnawakamua walalahoi.Kama hana hela unataka afanye nini ? Kwani ni dhambi Lissu kuomba michango kwa walalahoi ?
Kaeni na ccm yenu huko mbali. Yanayoendelea CHADEMA waachieni wana-CHADEMA wenyewe. HayawahusuDhambi sababu wabunge walichangia bil 8 alafu mwenyekiti akazitafuna. Sasa mnawakamua walalahoi.
Kwani zile pesa zilizotafunwa ni za wanaChadema? Ni pesa za umma.Kaeni na ccm yenu huko mbali. Yanayoendelea CHADEMA waachieni wana-CHADEMA wenyewe. Hayawahusu
Ndio za wana-CHADEMA. Kwani ziliingia akaunti ya nani ? NdegelecKwani zile pesa zilizotafunwa ni za wanaChadema? Ni pesa za umma.
Mbona hujibu maswali yangu? Alafu unapandisha swali lingine!
hata mie naamini kamanda!Lissu ni mpango wa Mungu kwa Watanzania. Haiwezekani kawaida tu mtu akapona risasi 16 alafu asiwe mpango wa Mungu.
Mwaka huu historia kuu ya kuangushwa Chama cha mapinduzi inaenda kuandikwa Tanzania.
Mungu tu pamoja na Lissu!