Kofianyeupe Member Joined Mar 8, 2020 Posts 95 Reaction score 94 Sep 18, 2020 #221 chagu wa malunde said: Kwani ile michango waliokuwa wanakatwa wabunge kwa ajili ya uchaguzi iko wapi? Wananchi wana hali mbaya kwa nini muwachangishe? Click to expand... Ww nenda kwenye vikao vya CCM chukua fulana na 20,000. Uza kura yako. Sisi wengine tusiokuwa na njaa za kipuuzi tutachanga.
chagu wa malunde said: Kwani ile michango waliokuwa wanakatwa wabunge kwa ajili ya uchaguzi iko wapi? Wananchi wana hali mbaya kwa nini muwachangishe? Click to expand... Ww nenda kwenye vikao vya CCM chukua fulana na 20,000. Uza kura yako. Sisi wengine tusiokuwa na njaa za kipuuzi tutachanga.
jimama26 JF-Expert Member Joined Jul 30, 2013 Posts 2,839 Reaction score 2,963 Sep 18, 2020 #222 Tutume michango ndugu zangu. Hili zoezi inabidi liishe bila kukwamakwama hata kidogo. Lissu lazima aingie Ikulu. Mimi tayari nishatuma wangu.
Tutume michango ndugu zangu. Hili zoezi inabidi liishe bila kukwamakwama hata kidogo. Lissu lazima aingie Ikulu. Mimi tayari nishatuma wangu.