Nawamiss Watanzania. Nikirudi huko kwenu naomba Mnitembeze haya maeneo nimeyasikia wenzenu wakiyataja Huku niliko

Unajua sisi wengine hatuna maringo au kujitenga na watu wenye njaa au shida. Wale jamaa nliwapa pesa wakae Hotel nzuri jana siku nzima walikuwa wananitafuta. Si hakukuwa na match. So wakaona wapate muda wa kuona Jiji na mimi.

Wamekuja na mademu wao na mimi wameniletea wawili. Wasichana wenyewe ambao ilitakiwa angalau nikae nao tu wakiwa wana enjoy life nlimpa Katibu wangu awafanyie interview. Hawapo smart kabisa kichwani. Kiingereza chao kibovu sana.

Lakini Doctor wangu aliwatizama akasema pale hamna bikra hata mmoja. Na akaniambia kabisa "Boss hapa hawa ukikuta Bikra mi nakufa hapa hapa"

Wale wadada hawajawahi fika nchi mbalimbali. Hawana exposure. Wakati sasa nimewaambia wakae kwa mbali maana nlikuwa naogopa hata kusogeleana nao. Wanazungumza kwa kelele sana wanapiga picha kila sekunde. Yaani zile picha ukiunganisha unapa video.

Wanajipost tu insta na facebook. Wapo na watangazaji wa sijui tv na radio gani. Sasa wakawa wanataja majina wananiuliza umewahi fika Burahat? Vigougouti? Sinza? Kijitonyama (huku nliwahi pitishwa na sinza maeneo ya watu maskini sana) Gubuourouni, Temece,Keygogo? Bouzer? Gobolaboutou?

I told them mi napafaham Oysterbay, Upanga, Posta na Bezi Beach kule zipo Hotels nyingi nyingi.... Na Koundouuchey nako nlienda kuna rafiki yangu toka Sweden huwa anafikia ile Hotel ana chumba chake anakilipia Miaka 5. Kinakuwepo tu. Hii mbinu nlimpa mimi baada ya kushangaa mimi nina Suit yangu pale Serena Hotel. Nikiona nahitaji kupata muda wa kutafakari naenda anytime napohitaji. Kile chumba mi huwa nakilipia 5 years in advance. Sitaki shida.

Hawa wadada wanakunywa Hennessy mpaka wanajishangaa....na hao waliokuja nao wananiita mimi brother yao. But ukiwatizama sura zao zinaonesha wakubwa sana. Sasa sielewi inakuaje mimi mkubwa kwao. Anyway. Mi sijali nimewaambia wale wanywe bill tu ndo wanipe. Sasa wale wadada waliowaleta for me wanalazimisha niwe nao. Mi naona hawajakidhi vigezo kabisa. Siwezi nitakuwa najikosea heshima.

Hawa jamaa akina Kubwembeh sijui na wenzie wanapiga picha kila tukio wanalofanya. Nawashangaa sana. Mbona vitu vya kawaida hivi? Leo nimewapeleka wakasalimiane na wachezaji wa nchi flani....jamaa wameshukuru sana. Wamepiga picha mpaka wale wachezaji wakasema ule mwanga utawaathiri.

Muda huu wadada wawili wamezima. Nimewaita huduma ya kwanza wawachukue wawapeleke room Hotel hii ya 5 star. Pia wawaangalie kwa ukaribu. Wamekunywa sana Hennessy. Wanasema huwa wanazisikia tu.

Huyu kubwembeh yeye alikuwa ana google majina ya vinywaji expensive Duniani, akipata jina la kinywaji anachotaka ndo anaagiza. Anapiga na picha. Yupo mwenzie mweusi mnene kiasi anaongea sana huyu nilimwambia akae mbali kidogo na mimi. Maana anaongea sana mpaka naona anaweza niambukiza usemaji wa kijinga.

Unajua sisi wenye pesa we dont talk much. We act/do. Sasa huyu anaongea sana. Mi sipendi kwa kweli.mara atake viatu vyangu mara asifie simu yangu mara....nimeshindwa. nimempa vyote atajua mwenyewe afanyie nini. Najua wanaweza mzuia airport maana ile saa yangu ni saa ambazo zilitengenezwa 12 tu Duniani. Na zinafahamika wavaaji wake.

So any airport ukipita na ile saa ina detect na taarifa inatumwa so watamkamata then wanipigie simu maana itaonesha kavaa tu mtu.na zile tunavaa sisi wengine siyo watu tu.

Ila pia acheni uswahili wa kuwatoa out mademu zenu kupitia watu wengine. Wale jamaa kama mimi ngekuwa siyo mtu smart ngewala mademu wao wote. Maana walianza kuwa wanagombea kuwa karibu nami. Maswali yakawa mengi. Jamaa wao wana google hadi chakula wanaagiza. Hadi maji ya kunywa nlimwona mmoja ame google " The most expensive water" akataka aletewe hayo.

Mi nlibaki kuwashangaa tu. Kila sekunde picha. Wameenda pigia picha hadi chooni. Wakawa wanaoneshana. Ndo yule katibu wangu akawaambia si sahihi kutuma kwenye mitandao picha wapo chooni wanajisaidia.

Anyway....nikija mnitembeze Dar niifahamu maana nimetajiwa maeneo...oooh sorry nliambiwa na Carrier Cool sokoni paliwaka moto. Ni kweli? Mnipeleke pia maana napasikia tu. Na soko la Kisoutou.

Nimeambiwa kuna joto....sijui mimi huwa siathiriki maana full time AC. Home,Garini, Washroom, Ofisini. So sijawahi kutana na joto la Dar. Hawa wadada wananitania "hiyo ngozi yako unaoga maziwa fresh? Unapaka asali?" Mi nacheka tu. Wananiambia tutakupeleka kwa Mperlangeh. Huko nako natamani nifike mtanionesha. Maana wakisema hivyo wanacheka sana. I dont know why. Maisha ndo haya haya... Hakuna mengine.
Aisee we jamaa smart sana upstairs yani unawajua wabongo hadi raha! Nadhani nitacheka for at least 20 hours from now! Ha ha ha 😂😂😂😂
 
🤣 🤣 🤣 🤣 daaah hayaa banaa...nimecheka sana wallah laadhim.
 
Kiduku Lilo agaaaaaiiiiin....[emoji1732][emoji847]

Wewe ndiwe chuma cha pua sasa kiuchekeshaji kwa maujiko yako, na ni kiboko cha yule Popoma Mkuu wa JF [emoji3]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Ole tumbafu Getegete. Carrer cool ndio nn
 
Back
Top Bottom