Nawaomba radhi Watanzania kwa kumpendekeza hayati Magufuli kwa hayati Mkapa

Unafiki huu,uongo,na uzandiki.Mungu anakuona
 
Umesamehewa. Na ijulikane wazi kuwa Magu hakuwahi kuwa mtu mzuri kwa uongozi tangu mwanzo. Ameacha majeraha makubwa yasiyofutika kwa miaka mingi na ni fundisho kubwa kwa wapiga kura na watanzania wote kuwa tunahitaji kurekebisha katiba tuliyonayo la sivyo wapo akina Magu wengine wanakuja. Nani anajua kuwa SSH hatawaumiza watanzania hata kama ni kwa staili nyingine, mbona tayari watu wanaumia kwa tozo zilizo kubwa na nyingi kila mahali? Katiba yetu inaruhusu viongozi kufanya wapendavyo na hakuna wa kuwapinga.
 
Najaribu kupima maono yako na huu msamaha unaoomba hapa naona Kama havihusiani,,

Hivi we dhana ya uhuru unaitafsirije na unaichukuliaje..

Hakuna uhuru usio na mipaka kiongozi!!

Hata kama ukiwa uko mwenyew chumban ni lazima ujinyime baadhi ya uhuru ili mambo yako yaende sawa..

Huaga sijui nawaonaje watu wanaojadili Jambo lililopita ambalo huwez badili chochote katika maisha ya sasa!!

Kama wakati huo ulifanya hivo kwa kuona ulikuwa sahihi? Je nikipi kinakufanya kuwa wakati huu hili unalowaza juu yake liko sahih zaidi??
 
Gunzi la moto alilokutia magufuli mataconi bado linakuumiza sana, hivi hauonagi aibu kupambana na marehemu !? shame on ptuuuuuuu i spit on you.
Na yeye tumemtanguliza Jehanam!! Daaadadeki!!! Usije kutoka Kolomije na ushamba wako ukawachezea vijana wa mjini, lazima tuku dedishe
 
Na yeye tumemtanguliza Jehanam!! Daaadadeki!!! Usije kutoka Kolomije na ushamba wako ukawachezea vijana wa mjini, lazima tuku dedishe
Hakuna asiejua hilo. Nyinyi mtaishi milele.
 
Mwenye mamlaka yooote chini ya mbingu na ardhi, Aliingilia Kati
 
Tuambie wewe watu waliofanyiwa ukatili na kuuawa wanarejeshwaje?
Magufuli hakufuata mtu yeyote (arbitrary) majumbani au ofisini mwao bila kosa na kuwapoteza.
Vinginevyo wote humu tungekuwa tumepotezwa...

Ukichokoza mzinga wa nyuki basi ukubaliane na madhara yake. Wachache sana waliopotezwa waliiingizwa kwenye mkumbo kimakosa au bila kosa.
 
Hizi kauli ni za kusikitisha sana. Yaani raisi aliyepata madaraka kidemokrasia ndio awe na mamlaka ya kupoteza watu?

Mnafahamu maana ya utawala wa sheria? Kama mtu anavunja sheria kwanini asipelekwe mahakamani?

Ndio maana mimi ninaamini Magufuli hastahili kuwa na hadhi yoyote katika nchi hii.
 
Yule mzee hakufaa kabisa
 
  • Kwenye aya ya mwisho "Wote tulibaki midomo wazo....". Natamani ungeorodhesha hao wote mliobaki midomo wazi kwa majina.
  • Naamini yale makosa hayatajirudia tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…