Nawaomba radhi Watanzania kwa kumpendekeza hayati Magufuli kwa hayati Mkapa

Umetumwa na Ccm au ni wewe binafsi ?
 
Kwahio huyu aliyopo sasa ni All Right ???!!!!!!

Nadhani huu muda tungeutumia kuganga ya Sasa wala sio Yaliyopita ambayo si Ndwele basi tungeisaidia nchi yetu...

Au tunangoja huyu akishatoka ndio tuanze kumzodoa ?!!!
 
Ulitakiwa ulambe ardhi maana umetulostisha Sana miaka 5 iliyopita na mabalaa tunayohangaika nayo sasa.
 
Asili ilichukua mkondo wake.. Ameshaondoka sasa maisha yaendelee hata tukiendelea kuishi kwa majuto haitatusaidia bali tuwe makini sasa na huko tuendako yasije kujirudia haya
 

Hatuwezi kukusemehe kwa kutuletea yule kiongozi muovu. Tunamshukuru tu Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika.
 
Ungeomba tukusamehe kabla sir God hajafanya yake....


Anyway.... "Ee Mungu, ikikupendeza mchukue huyu luteni kabla mwez hujaisha"

Wote tuseme Amen
 
ACHA uongo weye mnafiki mkubwa aliyo fanya zilikuwa ni sera za awali zile za Jakaya!! zake zingeanza kuonekana awamu ya ilo fuatia ambayo ni sasa na ile amabayo angelithiwa jinga weye utamdanganya nani?????

Alipoona ngoma nzito mbele pressure ikapanda chaliii!!....pamoja na madaktari wooote hao
 
Mleta Mada wewe na Magufuli!! wooote Manzi ga Nyanza …..km Yuda alisamehewa na wewe tuta kusamehe!
 
JPM was a great man every day people are composing every kind of melodious tune to influence the public to dance but in vain; his impact is still intact and deeply felt by whoever was directly or indirectly exposed to his command therefore his legacy whether positive or negative shall prevail for a number of years ahead.
 
Katiba mpya ni muhimu sana
 
Andika wewe kuhusu huyu aliyopo sasa.
Kwahio huyu aliyopo sasa ni All Right ???!!!!!!

Nadhani huu muda tungeutumia kuganga ya Sasa wala sio Yaliyopita ambayo si Ndwele basi tungeisaidia nchi yetu...

Au tunangoja huyu akishatoka ndio tuanze kumzodoa ?!!!
 
Hayupo mwanadamu aliyemkamilifu. Mema ya JPM mwisho wa siku yatazidi mabaya yake ambayo yanaimbwa kila itwayo leo ilikufunika mazuri yote aliyoyafanya.
Unaota ndugu yangu,kutuletea matabaka Tanzania ambayo hayakuwahi kutokea Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…