Nawaomba radhi Watanzania kwa kumpendekeza hayati Magufuli kwa hayati Mkapa

Asante kwa kumpendekeza JPM kwa Mkapa...

Purpose yako ushaitimiza...unaeza ukapotea tu huna maana tena kwa taifa hili...
Mbona hasira sana? Kila mtu atekeleze katika sehemu yake.
 


Shout Up!!...Wanawake wanauwawa kikatili na wanaume zao kila siku kisa vikoba au wivu wamapenzi...sembuse wahujumu uchumi....

Na wewe upotee tu...Huna maana
 
Kuua watu hali nawe ni mfu mtarajiwa ni kujilisha upepo
 

Attachments

  • Screenshot_20220908_212153.jpg
    107.9 KB · Views: 3
Kwahio huyu aliyopo sasa ni All Right ???!!!!!!

Nadhani huu muda tungeutumia kuganga ya Sasa wala sio Yaliyopita ambayo si Ndwele basi tungeisaidia nchi yetu...

Au tunangoja huyu akishatoka ndio tuanze kumzodoa ?!!!


Mfa maji haishi kutapatapa...ngoma nzito ishawalemea
 

Alowaua ni Nani??.

Et mtu yoyote anaweza kujenga chochote Kwa kukopa Hela....


Kikwete wakati anakopa alifanya nn?Mzee ruksa alifanyia nn? Mkapa alifanyia nn?? Au wao hawakukopa?


Mimi narudia kukuambia, JARIBU KUFICHA UJINGA WAKO .


NA JITAHIDI SANA KUA NA MAISHA YA KUPONGEZA MTU KWA UBORA WAKE.


HAMNA RAIS BORA, HAMNA RAIS BORAA KUTOKEA NCHI HIII BAADA YA BABA WA TAIFA ZAIDI YA JPM.
Hilo mlinywe, mlipokee na mkae nalo mioyoni .
 
Wauza
Mnajulikana tu ambao mlijenga chuki juu ya JPM!

Wauza ngada, vyeti feki, wanufaila wa wafanyakazi hewa, wezi na wazembe
Wauzaji unga, wafanyabiashara wakwep Kodi, vyeti Feki, walozoea Maisha ya Ujanja Ujanja mjini, Mafisadi ,na watu wa aina hiiii ....

Hawa ndo wanamchukia JPM sana
 
Wewe ni mshabiki wa magufuli hivyo hauwezi kufanya reasoning, nakuacha.
 
Mpumzisheni basi..maana kila mtu anadai alimpendekeza yeye mnatumix
 
Mnajulikana tu ambao mlijenga chuki juu ya JPM!

Wauza ngada, vyeti feki, wanufaila wa wafanyakazi hewa, wezi na wazembe
Hamna haja ya kujionesha hapa jukwaani. Magufuli alishahukumiwa kwa matendo yake maovu.
 
Povu debe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…