Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila mtu anaruhusiwa kutafsiri mambo kwa namna anavyopenda. Mimi ninazo taarifa za ndani ndio maana nimeona hekima kuomba radhi.
Mtu yeyote anaweza kujenga chochote kwa kukopa hela. Hakuna intelligence yoyote hapo ndio maana hiyo miradi inaendelea kujengwa hata sasa kwasababu ni mipango ya serikali.
Tuambie wewe watu waliofanyiwa ukatili na kuuawa wanarejeshwaje?
Mnajulikana tu ambao mlijenga chuki juu ya JPM!Lugha yako inathibitisha madai yangu.
Kwahio huyu aliyopo sasa ni All Right ???!!!!!!
Nadhani huu muda tungeutumia kuganga ya Sasa wala sio Yaliyopita ambayo si Ndwele basi tungeisaidia nchi yetu...
Au tunangoja huyu akishatoka ndio tuanze kumzodoa ?!!!
Na wewe ni vyeti feki?
Kila mtu anaruhusiwa kutafsiri mambo kwa namna anavyopenda. Mimi ninazo taarifa za ndani ndio maana nimeona hekima kuomba radhi.
Mtu yeyote anaweza kujenga chochote kwa kukopa hela. Hakuna intelligence yoyote hapo ndio maana hiyo miradi inaendelea kujengwa hata sasa kwasababu ni mipango ya serikali.
Tuambie wewe watu waliofanyiwa ukatili na kuuawa wanarejeshwaje?
Wauzaji unga, wafanyabiashara wakwep Kodi, vyeti Feki, walozoea Maisha ya Ujanja Ujanja mjini, Mafisadi ,na watu wa aina hiiii ....Mnajulikana tu ambao mlijenga chuki juu ya JPM!
Wauza ngada, vyeti feki, wanufaila wa wafanyakazi hewa, wezi na wazembe
Wewe ni mshabiki wa magufuli hivyo hauwezi kufanya reasoning, nakuacha.Alowaua ni Nani??.
Et mtu yoyote anaweza kujenga chochote Kwa kukopa Hela....
Kikwete wakati anakopa alifanya nn?Mzee ruksa alifanyia nn? Mkapa alifanyia nn?? Au wao hawakukopa?
Mimi narudia kukuambia, JARIBU KUFICHA UJINGA WAKO .
NA JITAHIDI SANA KUA NA MAISHA YA KUPONGEZA MTU KWA UBORA WAKE.
HAMNA RAIS BORA, HAMNA RAIS BORAA KUTOKEA NCHI HIII BAADA YA BABA WA TAIFA ZAIDI YA JPM.
Hilo mlinywe, mlipokee na mkae nalo mioyoni .
Wewe unatakiwa kuwahishwa kwa kutukosea.Kila mtu siku yake ikifika atalamba ardhi.
Ila alikuwa na roho ya kishetwaani kuliko hata shetaniMagufuli hakuwa mnafiki
Ila alikuwa na roho ya kishetwaani kuliko hata shetani
Acha ushetwaani naweAcha kujudge judge watu ukute we mwenyewe una roho hiyohiyo Ni vile tu hujulikani.
Povu debeUjinga mtupu.... Alikunyima nafasi?? Biashara zako ziliathirika ???magep yako yalipigwa pingu??? Chuma hakua anajali wee ni MwanaCCM au lah..
Baba wa watu alitaka Kila Mmoja afuate taratibu na sio Ujanja Ujanja tu.
Hata hivo nikuulize wee Mnafiki ... Je Hatuoni makubwa aloyafanya Kwa Nchi hiii?? Uliwah waza serikali kuhamia Dom? Vipi bwawa la JNHEPP lilowashinda wengi Kwa Presha za magharibi?? Vipi kuhusu SGR? ma Flyover kila Kona ? vipi kuhusu Daraja la Busisi na Madaraja makubwa makubwa ? Vipi husu Shirika letu la Ndege ?? Vipi Elimu Bure ???
Ebwanaaa tukaanza fanana na Ulaya.
Kama Hilo dogo, Mwamba akatuingiza uchumi wa Kati katikati ya Vita ya Corona??.
NINA KILA SABABU KWA MOYO WANGU MKUNJUFU, AKILI YAKO,,, KUKUSHAURI WEWE MTAFUTA TEUZI , JARIBU KUFICHA MATOPE YAKO KICHWAN.
WATANZANIA WANA MACHO ,WANA MASIKIO, WALIONA MATENDO YAKE, WALISIKIA MANENO YAKE NA AKAYATENDA .