maji ya gundu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,070
- 4,698
Habari za jumapili wana jukwaa, bila shaka najua mnaendea vizuri na matatizo yenu.
Kuna hili jambo haliongelewi sana ila linatesa sana vijana. Iko hivi nna rafiki zangu Kama wanne wamezaa tu na wanawake hawajafanikiwa kuishi pamoja, asee hili jambo usiombe likukute ishia tu kuliona kwa wenzio maana kwa haya nayoona wanayopitia ni hatari kwakweli
Kuna mmoja juzi mzazi mwenzie kamtukana sana afu hana ata sababu ya msingi
Kwani wanawake mkizalishwa bila kuolewa nini huwa kinawatokea kwene bongo zenu maana haya ninayoyashuhudia
Yaani ukitaka kujua tabia halisi ya mtu wako akuzalie, yaani ukishamzalisha ndo utamjua vizuri kila kitu hadi uvumilivu wake unapoishia
Poleni sana mliozaa na wanawake wasio na akili mna nafasi kubwa Sana ya kupoteza watoto wenu
Ni vile tu hamuongei ila mnapitia mengi sana, nimejaribu kuvaa viatu vya marafki zangu nimeshindwa kabisa.
Niwatakie weekend njema