Jamani uwez kumlinganisha mwanaume na mwanamke....... Wanawake tunawaacha mbali sana.... Kifikra, kiakili, kiushawishi na kivyovyote vile...... Wanaume so chochote mbele ya wanawake " TATIZO BINADAMU WA SIKU HIZI WABISHI SANA"Dah kweli jamaa yupo sahihi wanawake hamna akili
Kweli kabisa yaani sie wanaume ni dhaifu sana ikija pale kwenye kitobo chenuJamani uwez kumlinganisha mwanaume na mwanamke....... Wanawake tunawaacha mbali sana.... Kifikra, kiakili, kiushawishi na kivyovyote vile...... Wanaume so chochote mbele ya wanawake " TATIZO BINADAMU WA SIKU HIZI WABISHI SANA"
Poa sana, mambo vipi??Rafiki kuna wanaume wanaojielewa not allen are dogs.
Habari ya usubuhi rafiki
Kwema tuu ...uwe na siku njemaPoa sana, mambo vipi??
Ahsante, na kwako pia.Kwema tuu ...uwe na siku njema
Anaongea ujingaa sana tuSio kwa povu hili...kwani shida ni nn?
Muulize mtu anapopataga mtoto anakuwa akili haipo sawa kwa sababu ya hiyo hali ndio maana watu hushauriwa kuwa na wakwe zao, mawifi, na muhusika karibu kumpa upendo,nakumfariji ajirudie hali yake ila hao waweka mimba zao zakisenge pamoja na mtu kumzalia yeye hamjali siku yakwanza hapokei simu, halafu hana hela wala , wala hana haya mama wamtoto anamwita malaya wewe malaya achana namimi nipo namke wangu yupi na jaoa , acha tu inahuzunisha basi anaenda kwa mke asiye pata huyo mtoto basi kwa laana .Mwanamke asie na akili ndio yukoje?
Anakuwa hana akili baada ya kuzaa au kabla???
Kuna mtu kashaangukiwa na kitu kizito chenye ncha kali! Sijui kuhusu mwanangu uko alipo!Yaani wanaume siku hizi wanaona sijui fashion kutelekeza watoto..
Mimi nilimwambia kabisa akomeeee kupiga simu eti anamuulizia mtoto wakati kwenye matumizi anaona ahusikiii..
Na kifuatacho, mwanangu akikua nitamwambia babake alifarikiii..
Mnaboaaa sana
Sasa hadi hapo uoni kaka tunawazid akilKweli kabisa yaani sie wanaume ni dhaifu sana ikija pale kwenye kitobo chenu
Kwa kweli mnatuzidi akili maanankale katobo kenu katamuSasa hadi hapo uoni kaka tunawazid akil
Katramuuuu sanaKwa kweli mnatuzidi akili maanankale katobo kenu katamu
Alizaa kama wiki mbili kabla ya kuniambia kazaa, mara ya mwisho nlimwona na mimba ikiwa ndogo kuanzia hapo nlikua napiga sound tu. Nlibahatika kuona picha za mtoto akiwa kakua ile sura yetu kabisa kk.Mtoto aliuzwa kwa ndugu yake??? Au hakuwa na mimbaa??? Muda wote unamuhudumia bila hata kuonana nae live kujua kama ana mimba kweli???
Mbona sijaelewa kitu, kuna siri kama umeificha kuainaHabari za jumapili wana jukwaa, bila shaka najua mnaendea vizuri na matatizo yenu.
Kuna hili jambo haliongelewi sana ila linatesa sana vijana. Iko hivi nna rafiki zangu Kama wanne wamezaa tu na wanawake hawajafanikiwa kuishi pamoja, asee hili jambo usiombe likukute ishia tu kuliona kwa wenzio maana kwa haya nayoona wanayopitia ni hatari kwakweli
Kuna mmoja juzi mzazi mwenzie kamtukana sana afu hana ata sababu ya msingi
Kwani wanawake mkizalishwa bila kuolewa nini huwa kinawatokea kwene bongo zenu maana haya ninayoyashuhudia
Yaani ukitaka kujua tabia halisi ya mtu wako akuzalie, yaani ukishamzalisha ndo utamjua vizuri kila kitu hadi uvumilivu wake unapoishia
Poleni sana mliozaa na wanawake wasio na akili mna nafasi kubwa Sana ya kupoteza watoto wenu
Ni vile tu hamuongei ila mnapitia mengi sana, nimejaribu kuvaa viatu vya marafki zangu nimeshindwa kabisa.
Niwatakie weekend njema
Wewe unayejikaza kuja kuongea upupu huku hivi unajua kuzaa wewe sema .
Unajua hapo wewe akili yako inakutosha hapo ulipo hujitambui .
Umewahi telekezwa na wazazi, ndugu na mwanaume aliyekupa mimba wewe halafu mtoto ananjaa wewe nawe unanjaa hakuna mtu anayekusemesha uko nakamfuko navinguo vya mtoto na nguo zako unalia huna hata vocha ya kumtaarifu mtu ???
Wewe unatafuta laana fulani ya kizazi chako na channe.
Hujijui bado ..
Muombe Mungu leo akusamehe kabisa na umind your own business .
Kumbe jamii forum kuna watu badoo akili hawana hivi mnajiona sisi ni tunamatumbo yakujazwa jazwa tu eh! Ukitaka umjue mwanamke uzae naye ???
Nasisi wanawake tuwe naakili eti sio kila mtu unafungua mbususu wengine wanaume ni vichaa kweli naapa
I don' t care..Dah.. this is too much, mtu yuko hai kabisa then umwambie mtoto babake kashafariki. Usifanye hivyo, kwa maana siku mtoto akikua na kuja kumfahamu yu hai, hiyo chuki ya mtoto itakugeuka aisee lakini pia utamharibu kisakolojia
Wewe hudumia mwanao..Ndo jambo la msingi mkuuKuna mtu kashaangukiwa na kitu kizito chenye ncha kali! Sijui kuhusu mwanangu uko alipo!
kwani mkuu, nikizaa na mwanamke, nikakataa kuishi nae, lakini mahitaji nikawa natuma, nitakuwa kwenye hatari ya kuangukiwa na kitu kizito?
SawaNi kweli wake ila tu atumie ustaarabu
We jamaa umetumia lugha kali lakini haibadilishi kuwa uko na point ya maana sana..
Maana hata kwenye suala la akili[wanaume na wanawake], sio kwamba umemchagua hana akili huyo mpenzi. No. Ni wote hamna akili na ndio maana mmechaguana. Tukibadili lugha tutakuwa wote na jukumu katika yote. Slogan inasema 'We [all of us WE] make shit happen, because with great responsibility comes great POWER'
Haah kumbe, tena ngoja umenikumbusha niitafute na muvi yake ya mwisho. Lakini quote sijaitoa huko niliipataga tangu zamani kutokea hapaHiyo quote ya mwisho ya Spiderman [emoji28]