Nawaonea huruma wanawake wote ulimwenguni wanavyoteseka kutafuta wanaume

Nawaonea huruma wanawake wote ulimwenguni wanavyoteseka kutafuta wanaume

Hakika karne hii wanaume tumekuwa deal tena deal kubwa zaidi yatafutwavo madini hivyo nawaasa men wenzangu msihangaike kutafuta wanawake siku hizi wanatutafuta wenyewe tena kwa torch

Ni kweli tunawatafuta maana katika wa kiume 10 kumpata mwanaume walau mmoja ni bahati. So just line up tuwafanyie assessment!
Si unaona JF yote mimi nikampata Eiyer tu!
 
Last edited by a moderator:
Hakika karne hii wanaume tumekuwa deal tena deal kubwa zaidi yatafutwavo madini hivyo nawaasa men wenzangu msihangaike kutafuta wanawake siku hizi wanatutafuta wenyewe tena kwa torch

Nani kakudanganya?
We bado kweli enzi zile wakati mwanamke hajajikomboa kipesa ndio ilikuwa deal sasa hivi wanawake wamejitambua na wengi wanprefer kuwa single!
 
Ni kweli tunawatafuta maana katika wa kiume 10 kumpata mwanaume walau mmoja ni bahati. So just line up tuwafanyie assessment!
Si unaona JF yote mimi nikampata Eiyer tu!

Ila kwangu hukufika. Ungefika usingemjua Eiyer. Muulize @FP
 
Last edited by a moderator:
Mkuu bado tu unakomaa nao,mwaka huu wanawake watakukoma lol
 
Daaah mleta mada umekuwa too biased. Na kama hujawa biased basi bado ni mtoto mdogo hujui mapenzi. Tokea dahali na dahali wanaume ndiyo wanatongoza japokuwa siku hizi mambo yamebadilika lakini si kiasi cha kusema eti mwanamke akutafute kwa tochi!!!

Na kama ikitokea unatafutwa namna hiyo jua kuna kitu so special kinachotafutwa ili kiliwe hasa pesa kama ni mhongaji mzuri.

Masuala ya uhandsome wanawake siku hizi hawamind sana maana wanaume mahandsome wanaongoza kwa usumbufu aidha kuliwa viboga au kujitia vidume sana kutokana na uzuri!!
 
Ivi mtu kuwa single inamaanisha hafanyi ngono au?
 
Hakika karne hii wanaume tumekuwa deal tena deal kubwa zaidi yatafutwavo madini hivyo nawaasa men wenzangu msihangaike kutafuta wanawake siku hizi wanatutafuta wenyewe tena kwa torch

Inawezekana kuwa ni kweli, lakini ukitaka kuwa mwanaume wa ukweli na kulinda heshima yako na kuwa mtu mwenye maamuzi na kuheshimika ni vyema ukatafuta na siyo kutafutwa. Ukiendekeza michezo ya wewe mwanaume kutafutwa unahatarisha afya ya mahusiano.

Huu ni mtazamo wangu.
 
Hakika karne hii wanaume tumekuwa deal tena deal kubwa zaidi yatafutwavo madini hivyo nawaasa men wenzangu msihangaike kutafuta wanawake siku hizi wanatutafuta wenyewe tena kwa torch

Lol🙂🙂🙂🙂 mweeh, mnaotafutwa nahs mwapenda liwa ka dada ze2 wa ohio kwa dau au bila dau kupata ufahari wa kumake list..ila vngnevyo maybe sio complete.
 
kama kwa kusema wanaume ulikuwa unamaanisha na wewe Yona edson walahi sio tochi tu itabidi tuweke chekecheo,chujio,king'amuzi,kurunzi,wavu,neti, mpka toothpick ili tuwapate!
 
Last edited by a moderator:
Wanaume ni wachache na katika hao wachache mashoga mpo wengi mtaacha kuwa adimu he he he hureeeee!!!!!
 
Back
Top Bottom