MESTOD
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 4,798
- 2,006
Hakika karne hii wanaume tumekuwa deal tena deal kubwa zaidi yatafutwavo madini hivyo nawaasa men wenzangu msihangaike kutafuta wanawake siku hizi wanatutafuta wenyewe tena kwa torch
Mkuu unataka kutukanwa na hawa watu, we ona walivokuanzia.