Nawaonea huruma wanawake wote ulimwenguni wanavyoteseka kutafuta wanaume

Nawaonea huruma wanawake wote ulimwenguni wanavyoteseka kutafuta wanaume

Kumbe unamkumbuka huyu kijana eeh, cjui katendwa na bnt gan humu jf...!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Hapo ni stress za kufa mtu,utazeeka mapema dogo,let them go,waachie wenye makali mkuu
 
Hapo ni stress za kufa mtu,utazeeka mapema dogo,let them go,waachie wenye makali mkuu

Bora mwambie ww, na kweli ana stress sanaaa na anaitaji msaada ila njia anayoi2mia co kabisaa..!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Duh Lager haina mpinzani! Watatufuta huku huku kwenye viti virefu tuna watch EPL.
 
ndivyo mnavyojidanganya hivyo,hahaha pole yako kwa taarifa yako nyie ndo mnatutafuta
  1. kugegedana
  2. wife material ambao ni adimu
  3. kuinvest penzi huna haya ww wakutafutwa muwe nyie,tukiwatafuta ujue mmarekani kaiona dhahabu na si vinginevyo.
ha ha ha ha ha ha
 
Nani kakudanganya?
We bado kweli enzi zile wakati mwanamke hajajikomboa kipesa ndio ilikuwa deal sasa hivi wanawake wamejitambua na wengi wanprefer kuwa single!

Am not sure you are living in this world
 
Ni kweli tunawatafuta maana katika wa kiume 10 kumpata mwanaume walau mmoja ni bahati. So just line up tuwafanyie assessment!
Si unaona JF yote mimi nikampata Eiyer tu!

Umemaliza ..wa kiume kibao lkn wanaume....mhhhh!!
 
Last edited by a moderator:
Hahaha !Ni kweli wanaume wa ukweli ni wachache ila Wavulana na Machoga mbona wako wengi sana! Na hi inahuzunisha sana kuona WAMEUSALITI uanaume wao na kuutukuza UMARIOO,USHOGA nk so sad!:A S 39:
 
Ni kweli tunawatafuta maana katika wa kiume 10 kumpata mwanaume walau mmoja ni bahati. So just line up tuwafanyie assessment!
Si unaona JF yote mimi nikampata Eiyer tu!

Dah bro Eiyer mbona hujanambia kumbe kuna shemeji anaitwa Kaunga humu jf!,saladu zako shem
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli tunawatafuta maana katika wa kiume 10 kumpata mwanaume walau mmoja ni bahati. So just line up tuwafanyie assessment!
Si unaona JF yote mimi nikampata Eiyer tu!
kaunga chukua tano bibie.
yaani kiufupi wanaume wa kweli siku hz ni wachache sana ndio maana tunawatafuta sana.
 
mnatafutwa sana kwsbb wanaume wa kweli siku hz hawapo hivyo twatumia nguvu nyingi sana kuwapata.
 
Bora mwambie ww, na kweli ana stress sanaaa na anaitaji msaada ila njia anayoi2mia co kabisaa..!
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Leah BROWN msaidie basi asije akafa bure we ndo wakumsaidia
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom