Nawaonya Simba, Serikali imeshapanga mechi ya derby ni tarehe 25.06.25 , Ole wake atokee mtu aongee kitu au kupinga Atashughulikiwa Ipasavyo.

mwanamabadiliko

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2010
Posts
1,364
Reaction score
2,396
Ndio nimeona timu ya Simba Sports Club , almaarufu Makolo FC wameweka Mgomo Baridi na hii nimejua kupitia mambo mawili, la kwanza Simba hawajapost wala kutoa taarifa kwa Umma kuwa Derby imesogezwa mpaka tarehe 25.06.2025. Pia nimeona kupitia Comments za mashabiki mbalimbali wa Simba wakiwa na Hasira Kali, nakuitaka timu ya Simba isipeleke timu uwanjani kwani huo utakuwa ni udhalilishaji kwao na itawashushia Heshima.
Club ya Simba na washabiki wao wanamanung'uniko Moyoni na wanaona kama Serikali ya Samia ipo upande wa Yanga kwani, Yanga wanavyotaka Serikali inawafanyia hivyo, wanadai imekuwa kama Ligi ya Tanzania inaendeshwa na timu moja ambayo ni yanga ambao ndo wananchi, na kila mtu anajua Serikali imewekwa madarakani na wananchi.

Nawaambia , nawaonya na kuwashauri timu ya Simba na Mashabiki wao kuwa Mechi hii imesogezwa Mbele na Serikali, na maamuzi ya mechi hii yalifanyika ikulu na yameongozwa na Raia namba Moja, ambaye naamini kila Raia wa Nchi hii anamuheshimu na kufuata maagizo yake. Hivyo Simba mlete timu uwanjani, na pia mkae kimya, kama una malalamiko yabaki moyoni kwako, na ukileta Mzaha serikali itakushughulia na kukuweka Korokoroni.

Karibuni Derby
 
Screenshot_20250614-140554.jpg
 
Msilete timu Tarehe 25 tuwashushe daraja, Azam wapo ndio watakuwa wapinzani wetu rasmi
Wapinzani wetu rasmi ni Singapore Big boys ambao waliitandika Simba bila huruma pale alipochezesha refa namba moja mwenye haki Tanzania, Arajiga the Great. Azam bado sana, tukiwakabia juu wanahema kama mwizi anaekimbizwa kisha tunaua kirahisi, Simba tumeelekeza kibla na tumechinja mara nne hana ladha tena!
 
Ndio nimeona timu ya Simba Sports Club , almaarufu Makolo FC wameweka Mgomo Baridi na hii nimejua kupitia mambo mawili, la kwanza Simba hawajapost wala kutoa taarifa kwa Umma kuwa Derby imesogezwa mpaka tarehe 25.06.2025. Pia nimeona kupitia Comments za mashabiki mbalimbali wa Simba wakiwa na Hasira Kali, nakuitaka timu ya Simba isipeleke timu uwanjani kwani huo utakuwa ni udhalilishaji kwao na itawashushia Heshima.
Club ya Simba na washabiki wao wanamanung'uniko Moyoni na wanaona kama Serikali ya Samia ipo upande wa Yanga kwani, Yanga wanavyotaka Serikali inawafanyia hivyo, wanadai imekuwa kama Ligi ya Tanzania inaendeshwa na timu moja ambayo ni yanga ambao ndo wananchi, na kila mtu anajua Serikali imewekwa madarakani na wananchi.

Nawaambia , nawaonya na kuwashauri timu ya Simba na Mashabiki wao kuwa Mechi hii imesogezwa Mbele na Serikali, na maamuzi ya mechi hii yalifanyika ikulu na yameongozwa na Raia namba Moja, ambaye naamini kila Raia wa Nchi hii anamuheshimu na kufuata maagizo yake. Hivyo Simba mlete timu uwanjani, na pia mkae kimya, kama una malalamiko yabaki moyoni kwako, na ukileta Mzaha serikali itakushughulia na kukuweka Korokoroni.

Ka

Waambie ccm mpira siyo siasa cha moto watakiona wafanye kama wanajukuna
 
Umeongea vzr mnooooo, tusibishane na mamlaka, yeyote atakaebishana na mamlaka aliwe kiboga
 
Wagome tu. Ili yanga iseme haimtaki mangungu na Mo.. uone kama mangungu na Mo watabaki.

Maana wanasimba wenyewe walishindwa kumtoa mangungu na Mo
Hatuwatoi Ng'o! Combination ya Mangungu na Mo ina fainali 1 ya CAF, robo fainali 6 za CAF, na imeiwezesha Simba kuwa Club ya 5 kwa ubora Africa.
 
Back
Top Bottom