Nawaonya Simba, Serikali imeshapanga mechi ya derby ni tarehe 25.06.25 , Ole wake atokee mtu aongee kitu au kupinga Atashughulikiwa Ipasavyo.

Kuimba kupokezana.
"5IMBA imeandika barua Moja tu ikabaki kimya, UTAPiAMLO thatha, kila thiku matamko" (in kubana pua voice).
Leteni wacheza rede wenu tarehe 25.06.2025, lile KONO LA NYANI mlilolikimbia tarehe 08.03.2025 litazaa riba ya 40%.
Mbona mmefuta ile barua yenu ya kutoutambua mchezo mwingine wa namba 184 zaidi ya ule wa tarehe 15 ulioahirishwa?
 
Ndio nimeona timu ya Simba Sports Club , almaarufu Makolo FC wameweka Mgomo Baridi na hii nimejua kupitia mambo mawili, la kwanza Simba hawajapost wala kutoa taarifa kwa Umma kuwa Derby imesogezwa mpaka tarehe 25.06.2025. Pia nimeona kupitia Comments za mashabiki mbalimbali wa Simba wakiwa na Hasira Kali, nakuitaka timu ya Simba isipeleke timu uwanjani kwani huo utakuwa ni udhalilishaji kwao na itawashushia Heshima.
Club ya Simba na washabiki wao wanamanung'uniko Moyoni na wanaona kama Serikali ya Samia ipo upande wa Yanga kwani, Yanga wanavyotaka Serikali inawafanyia hivyo, wanadai imekuwa kama Ligi ya Tanzania inaendeshwa na timu moja ambayo ni yanga ambao ndo wananchi, na kila mtu anajua Serikali imewekwa madarakani na wananchi.

Nawaambia , nawaonya na kuwashauri timu ya Simba na Mashabiki wao kuwa Mechi hii imesogezwa Mbele na Serikali, na maamuzi ya mechi hii yalifanyika ikulu na yameongozwa na Raia namba Moja, ambaye naamini kila Raia wa Nchi hii anamuheshimu na kufuata maagizo yake. Hivyo Simba mlete timu uwanjani, na pia mkae kimya, kama una malalamiko yabaki moyoni kwako, na ukileta Mzaha serikali itakushughulia na kukuweka Korokoroni.

Karibuni Derby
Kwa kweli..
 
Shida hapa ni Moja, Je Kina Mangungu na Mo wampinge Rais Hadharani ambayo madhara yake ni makubwa sana kwa uongozi mzima wa simba na TFF , kuliko kukubali maagizo ya Rais na kugombana na washabiki ambao hawawezi kufanya chochote mana Serikali itawashughulikia hao washabiki kama inavyoshughulikia mashabiki wa chadema. Hata mimi ningekuwa Simba ningekaa upande wa Rais mana rais atanilinda, lakini ukikaa upande wa mashabiki inamana nitakuwa napingana na dola, na kila mtanzania anajua ubaya wa kupingana na Dola nchi hii
 
Kwa hali ilivyo, naona kabisa
Simba Hawatacheza hii game. Nimekaa 👉 👉 👉 👉 👉
Point 3 chukueni tu ila Simba kucheza hii game sidhani
Ila duu simba sc, wananikumbusha zamani gani unafanya maandaalizi ya kutosha hadi inapasa pasha, (troti), na kulipia................. Halafu manyoya

In reality though What goes around comes around
 
Ndio nimeona timu ya Simba Sports Club , almaarufu Makolo FC wameweka Mgomo Baridi na hii nimejua kupitia mambo mawili, la kwanza Simba hawajapost wala kutoa taarifa kwa Umma kuwa Derby imesogezwa mpaka tarehe 25.06.2025. Pia nimeona kupitia Comments za mashabiki mbalimbali wa Simba wakiwa na Hasira Kali, nakuitaka timu ya Simba isipeleke timu uwanjani kwani huo utakuwa ni udhalilishaji kwao na itawashushia Heshima.
Club ya Simba na washabiki wao wanamanung'uniko Moyoni na wanaona kama Serikali ya Samia ipo upande wa Yanga kwani, Yanga wanavyotaka Serikali inawafanyia hivyo, wanadai imekuwa kama Ligi ya Tanzania inaendeshwa na timu moja ambayo ni yanga ambao ndo wananchi, na kila mtu anajua Serikali imewekwa madarakani na wananchi.

Nawaambia , nawaonya na kuwashauri timu ya Simba na Mashabiki wao kuwa Mechi hii imesogezwa Mbele na Serikali, na maamuzi ya mechi hii yalifanyika ikulu na yameongozwa na Raia namba Moja, ambaye naamini kila Raia wa Nchi hii anamuheshimu na kufuata maagizo yake. Hivyo Simba mlete timu uwanjani, na pia mkae kimya, kama una malalamiko yabaki moyoni kwako, na ukileta Mzaha serikali itakushughulia na kukuweka Korokoroni.

Karibuni Derby
Kwa hiyo umetumwa kutisha watu sio?
Hizi taarifa zitafika FIFA maana tunakoekekea sasa kuna dalili mbaya sana.
 
Nadhani wajiulize kwanini viongozi wao wameufyata, watapakwa mafuta kama wale wanaharakati wa kenya
 
Ndio nimeona timu ya Simba Sports Club , almaarufu Makolo FC wameweka Mgomo Baridi na hii nimejua kupitia mambo mawili, la kwanza Simba hawajapost wala kutoa taarifa kwa Umma kuwa Derby imesogezwa mpaka tarehe 25.06.2025. Pia nimeona kupitia Comments za mashabiki mbalimbali wa Simba wakiwa na Hasira Kali, nakuitaka timu ya Simba isipeleke timu uwanjani kwani huo utakuwa ni udhalilishaji kwao na itawashushia Heshima.
Club ya Simba na washabiki wao wanamanung'uniko Moyoni na wanaona kama Serikali ya Samia ipo upande wa Yanga kwani, Yanga wanavyotaka Serikali inawafanyia hivyo, wanadai imekuwa kama Ligi ya Tanzania inaendeshwa na timu moja ambayo ni yanga ambao ndo wananchi, na kila mtu anajua Serikali imewekwa madarakani na wananchi.

Nawaambia , nawaonya na kuwashauri timu ya Simba na Mashabiki wao kuwa Mechi hii imesogezwa Mbele na Serikali, na maamuzi ya mechi hii yalifanyika ikulu na yameongozwa na Raia namba Moja, ambaye naamini kila Raia wa Nchi hii anamuheshimu na kufuata maagizo yake. Hivyo Simba mlete timu uwanjani, na pia mkae kimya, kama una malalamiko yabaki moyoni kwako, na ukileta Mzaha serikali itakushughulia na kukuweka Korokoroni.

Karibuni Derby
Wahamie Somalia!
 
Na wasisahau pia mgeni rasmi siku hiyo ni Chura Kiziwi. Na hii ndiyo maana halisi sasa ya ubaya ubwela.
 
Mbona mmefuta ile barua yenu ya kutoutambua mchezo mwingine wa namba 184 zaidi ya ule wa tarehe 15 ulioahirishwa?
Hata Waifute koloz barua yao tunayo 😂😂😂😂
 
Attachments

  • Screenshot_20250613-184856_2.png
    Screenshot_20250613-184856_2.png
    318.2 KB · Views: 19
Back
Top Bottom