mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 1,364
- 2,396
😀😀😀 Kijana yamekua Hayo Tena Mama Hana Upande Alikua anatafuta suluhu tu kwa pande zoteHiyo mechi akacheze Samia na Yanga, hatukubali kizalilika
Huna uwezo wa kufanya chochote ubaya ubwela
FIFA soon
Wapinzani wetu rasmi ni Singapore Big boys ambao waliitandika Simba bila huruma pale alipochezesha refa namba moja mwenye haki Tanzania, Arajiga the Great. Azam bado sana, tukiwakabia juu wanahema kama mwizi anaekimbizwa kisha tunaua kirahisi, Simba tumeelekeza kibla na tumechinja mara nne hana ladha tena!Msilete timu Tarehe 25 tuwashushe daraja, Azam wapo ndio watakuwa wapinzani wetu rasmi
Huyu ni wetu, wananchi oyeee
Ndio nimeona timu ya Simba Sports Club , almaarufu Makolo FC wameweka Mgomo Baridi na hii nimejua kupitia mambo mawili, la kwanza Simba hawajapost wala kutoa taarifa kwa Umma kuwa Derby imesogezwa mpaka tarehe 25.06.2025. Pia nimeona kupitia Comments za mashabiki mbalimbali wa Simba wakiwa na Hasira Kali, nakuitaka timu ya Simba isipeleke timu uwanjani kwani huo utakuwa ni udhalilishaji kwao na itawashushia Heshima.
Club ya Simba na washabiki wao wanamanung'uniko Moyoni na wanaona kama Serikali ya Samia ipo upande wa Yanga kwani, Yanga wanavyotaka Serikali inawafanyia hivyo, wanadai imekuwa kama Ligi ya Tanzania inaendeshwa na timu moja ambayo ni yanga ambao ndo wananchi, na kila mtu anajua Serikali imewekwa madarakani na wananchi.
Nawaambia , nawaonya na kuwashauri timu ya Simba na Mashabiki wao kuwa Mechi hii imesogezwa Mbele na Serikali, na maamuzi ya mechi hii yalifanyika ikulu na yameongozwa na Raia namba Moja, ambaye naamini kila Raia wa Nchi hii anamuheshimu na kufuata maagizo yake. Hivyo Simba mlete timu uwanjani, na pia mkae kimya, kama una malalamiko yabaki moyoni kwako, na ukileta Mzaha serikali itakushughulia na kukuweka Korokoroni.
Ka
Waambie ccm mpira siyo siasa cha moto watakiona wafanye kama wanajukunaNdio nimeona timu ya Simba Sports Club , almaarufu Makolo FC wameweka Mgomo Baridi na hii nimejua kupitia mambo mawili, la kwanza Simba hawajapost wala kutoa taarifa kwa Umma kuwa Derby imesogezwa mpaka tarehe 25.06.2025. Pia nimeona kupitia Comments za mashabiki mbalimbali wa Simba wakiwa na Hasira Kali, nakuitaka timu ya Simba isipeleke timu uwanjani kwani huo utakuwa ni udhalilishaji kwao na itawashushia Heshima.
Club ya Simba na washabiki wao wanamanung'uniko Moyoni na wanaona kama Serikali ya Samia ipo upande wa Yanga kwani, Yanga wanavyotaka Serikali inawafanyia hivyo, wanadai imekuwa kama Ligi ya Tanzania inaendeshwa na timu moja ambayo ni yanga ambao ndo wananchi, na kila mtu anajua Serikali imewekwa madarakani na wananchi.
Nawaambia , nawaonya na kuwashauri timu ya Simba na Mashabiki wao kuwa Mechi hii imesogezwa Mbele na Serikali, na maamuzi ya mechi hii yalifanyika ikulu na yameongozwa na Raia namba Moja, ambaye naamini kila Raia wa Nchi hii anamuheshimu na kufuata maagizo yake. Hivyo Simba mlete timu uwanjani, na pia mkae kimya, kama una malalamiko yabaki moyoni kwako, na ukileta Mzaha serikali itakushughulia na kukuweka Korokoroni.
Karibuni Derby
Umeongea vzr mnooooo, tusibishane na mamlaka, yeyote atakaebishana na mamlaka aliwe kibogaNdio nimeona timu ya Simba Sports Club , almaarufu Makolo FC wameweka Mgomo Baridi na hii nimejua kupitia mambo mawili, la kwanza Simba hawajapost wala kutoa taarifa kwa Umma kuwa Derby imesogezwa mpaka tarehe 25.06.2025. Pia nimeona kupitia Comments za mashabiki mbalimbali wa Simba wakiwa na Hasira Kali, nakuitaka timu ya Simba isipeleke timu uwanjani kwani huo utakuwa ni udhalilishaji kwao na itawashushia Heshima.
Club ya Simba na washabiki wao wanamanung'uniko Moyoni na wanaona kama Serikali ya Samia ipo upande wa Yanga kwani, Yanga wanavyotaka Serikali inawafanyia hivyo, wanadai imekuwa kama Ligi ya Tanzania inaendeshwa na timu moja ambayo ni yanga ambao ndo wananchi, na kila mtu anajua Serikali imewekwa madarakani na wananchi.
Nawaambia , nawaonya na kuwashauri timu ya Simba na Mashabiki wao kuwa Mechi hii imesogezwa Mbele na Serikali, na maamuzi ya mechi hii yalifanyika ikulu na yameongozwa na Raia namba Moja, ambaye naamini kila Raia wa Nchi hii anamuheshimu na kufuata maagizo yake. Hivyo Simba mlete timu uwanjani, na pia mkae kimya, kama una malalamiko yabaki moyoni kwako, na ukileta Mzaha serikali itakushughulia na kukuweka Korokoroni.
Karibuni Derby
Huwezi Kushindana na Rais wala WANANCHIWaambie ccm mpira siyo siasa cha moto watakiona wafanye kama wanajukuna
Hatuwatoi Ng'o! Combination ya Mangungu na Mo ina fainali 1 ya CAF, robo fainali 6 za CAF, na imeiwezesha Simba kuwa Club ya 5 kwa ubora Africa.Wagome tu. Ili yanga iseme haimtaki mangungu na Mo.. uone kama mangungu na Mo watabaki.
Maana wanasimba wenyewe walishindwa kumtoa mangungu na Mo