Nawaonya Simba, Serikali imeshapanga mechi ya derby ni tarehe 25.06.25 , Ole wake atokee mtu aongee kitu au kupinga Atashughulikiwa Ipasavyo.

Mashabiki Wa Simba hua wanapendeza sana wakivaa zile t shirt zao za kumsifia mama wakija nazo tarehe 25 Kwa wingi kama walivyoambiwa na msemaji wao waje uwanjani Kwa wingi hakika uwanja utapendeza sana
 
Basi kwenye hili msiseme "mpira umeshinda" semeni "siasa imeshinda" maamuma nyie
Hersi endelea kupress kutokea pembeni,Ntine kati na Arafati kushoto
 

Attachments

  • FB_IMG_17498837724637338.jpg
    220.6 KB · Views: 26
Hamiri Jeshi ni Kenge gani wa ndani ambae anaweza kupinga kauri yake!?, jitikiseni nyie Kundu wa msimbazi muone.
 
Kuimba kupokezana.
"5IMBA imeandika barua Moja tu ikabaki kimya, UTAPiAMLO thatha, kila thiku matamko" (in kubana pua voice).
Leteni wacheza rede wenu tarehe 25.06.2025, lile KONO LA NYANI mlilolikimbia tarehe 08.03.2025 litazaa riba ya 40%.
 
Nasubiri Kisugu ainue mdomo ni myooshe apa jukwaani.
 
Simba msipeleke timu hiyo tarehe 25/6. Hata mimi nawaunga mkono, hili lilitakiwa limalizwe na wanamichezo wenyewe. Lazima muafaka ungepatikana tu. Gomeni nanyinyi, ubaya ubwela.
Unachokitaka tunakijua[emoji16]
 
Simba imebakisha mechi mbili tu. Kisha itaruhusu wachezaji wakasalimie familia zao kabla ya kurudi Tena kujiandaa na pre season

Hiyo game ya tar 25 icheze Ikulu fc na Yanga.
 
No reform no election
No reform no election
 
Hakuna mafanikio bila kulipa gharama. Simba mtashangaza sana kupeleka timu uwanjani trh 25/6/2025.
Kubalini kupoteza ili kuunusuru mpira wa Tanzania, hawa wengine walikuwa wanapiga tu kelele kwa kudeka lakini hoja za msingi walikuwa hawana. Simba hamna wa kuwatetea abadani hata kama mngefanyaje, Ukombozi wenu uko mikononi mwenu wenyewe Simba Sports Club. Achaneni na wanaowatisha eti gomeni muone. Simba mkikomaa hii ligi itafanyiwa reforms na bahati mbya mpira wa Tanzania unaingiliwa na wasio stahili bila kujali chochote. Gomeni, wasio na mamlaka ya soka waingie kichwa kichwa ligi ipigwe ban na wenye mpira wao ili wakae waje na uendeshaji bora wa ligi hapo baadae. Simba acheni unyonge, enough is enough. This is the only golden chance you have, you have all evidence at your hands, choose wisely and act accordingly.
 
Kama una blanketi ama shuka jifunike halafu lalamika humo humo
 
Kwa hali ilivyo, naona kabisa
Simba Hawatacheza hii game. Nimekaa πŸ‘‰ πŸ‘‰ πŸ‘‰ πŸ‘‰ πŸ‘‰
Point 3 chukueni tu ila Simba kucheza hii game sidhani
 
Simba hatuchezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…