Nawaonya wana Simba SC wote kuwa tujitenge na huu Mtego na yanayoendelea Kwao, bali tuijenge Timu yetu kwa Msimu mpya

Nawaonya wana Simba SC wote kuwa tujitenge na huu Mtego na yanayoendelea Kwao, bali tuijenge Timu yetu kwa Msimu mpya

Na nyie mliokuja PM kutaka niseme chochote tu kuihusu Yanga SC na kinachoendelea iwe mwanzo na mwisho sawa?
Nikiwa nawaambia huyu mtoa mada hajawahi kufika Dar. Anaishi Bugarika Mwanza mjini na kwao ni Bunda vijijini mkoani Mara ndo aliposomea na kukulia muwe mnaelewa.

Anasema watu wanamfuata PM. Na PM yake ameifunga...

Anajitia kujipa umuhimu ambao hana...

Huyu jamaa ana tatizo kubwa sana huyu
 
Attachments

  • Screenshot_20240717-123031.png
    Screenshot_20240717-123031.png
    174.7 KB · Views: 3
Nikiwa nawaambia huyu mtoa mada hajawahi kufika Dar. Anaishi Bugarika Mwanza mjini na kwao ni Bunda vijijini mkoani Mara ndo aliposomea na kukulia muwe mnaelewa.

Anasema watu wanamfuata PM. Na PM yake ameifunga...

Anajitia kujipa umuhimu ambao hana...

Huyu jamaa ana tatizo kubwa sana huyu
Kuna Members hapa huwa nawasiliana nao PM sasa waulize huwa wanafanya nini hadi Mimi na Wao tunaweza Kuwasiliana? Hujaanza leo Kunichokoza hapa JamiiForums japo nimeshakuripoti mno kwa Moderators akina Payge hadi JamiiForums Founder mwenyewe kwa aina yako ya Uchokozi dhidi yangu ila hakuna wanachokufanya. Halafu nikisema kuwa Wewe ni Moderator wanaona nadanganya. Na najua unachokitaka hapa ni Mimi na Wewe tujibizane kisha Uniripoti kwa Mods na wanipe BAN. Na bahati nzuri hao Members ambao nimekuwa nikiwasiliana nao hapa wapo watakuja Kushuhudia wenyewe.

Hongera sana kwa Kulindwa na Uongozi mzima wa JamiiForums kwani Wewe ndiyo Member pekee ambaye huadhibiwi.
 
Habari za Yanga na wazee wao, Simba inahusu nn?
Watajijua wao na njegeka zao.
 
Na nyie mliokuja PM kutaka niseme chochote tu kuihusu Yanga SC na kinachoendelea iwe mwanzo na mwisho sawa?
Mkuu

Mi nimeelewa kinachotokea yanga ni vita ya kijasusi nje ya mpira hasa siasa za kiutawala na kukomoana Kwa makada wa CCM Wala sio mpira wenyewe!!

Engineer kawekwa na watu na walioenda mahakamani NAO Wana watu wao na hakimu alieamua kesi ana watu wake !!!

Mawazo huru!!
 
Back
Top Bottom