Nawaonya wana Simba SC wote kuwa tujitenge na huu Mtego na yanayoendelea Kwao, bali tuijenge Timu yetu kwa Msimu mpya

Nawaonya wana Simba SC wote kuwa tujitenge na huu Mtego na yanayoendelea Kwao, bali tuijenge Timu yetu kwa Msimu mpya

Nafikiri unaongozwa na:

chuki

1.
tabia ya kutopenda, hasa watu au ya kuwa na roho mbaya

2.maneno ya kugombanisha watu

3.hali ya kukasirika

Nb: Huwa unasubiri aanzishe uzi wake halafu wewe ni kuanzisha ugomvi na mabishano ya kishamba na kipumbavu!
Nashukuru kwa kuja Kumuelimisha huyo Juha ( Fool ) ila kwa Kunitetea Kwako hivi tegemea kuwa Wewe ni GENTAMYCINE.
 
Back
Top Bottom