Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 4,319
- 9,003
Mzazi kakosa nn hapa?Mzazi wa huyu binti shame upon you.
Mambo, cha uremboMzazi kakosea nini?
Situkani mamba sijavuka mto.Salama kitu gani?
Nimetoka kibaruani nimejichokea, hapa ndani ya mji mdogo wa Himo mara bila kutegemea naparamiwa na msichana ananililia, anaomba aokolewe mpenzi wake amelewa anampiga na marungu.
Anaomba msaada nikamchukulie vitu vyake arudi chuoni Kilacha(chuo cha mifugo), jamaa ananifata amefura nimuachie demu wake amfundishe adabu kumuangalia vizuri ni bodaboda ninayemfahamu muda mrefu sana.
Mtoto wazazi wanajibana litoto limepata ufaulu wa ajabu form four/six linakuja kuhangaika na bodaboda huku mtaani.
Mzazi wa huyu binti shame upon you.
Kimsingi mzazi kajitahid sana walau kumtafutia chuo cha kati kinachoendana ufaulu wa binit yake ili asikae home….dogo ndo kazinguaMzazi kakosa nn hapa?
Soma kichwa cha uzi, wapi nimewalaumu?Katika hili ni yapi makosa ya mzazi?
Poa poa bro.Mambo, cha urembo
Umesema "mzazi wa huyu binti shame upon you"Wapi nimemlaumu mzazi?
Unamuonea mzazi bure. Kwani huo uchafu anaofanya binti mzazi wake huko nyumbani anaujua? Kosa la mzazi liko wapi hapo?Salama kitu gani?
Nimetoka kibaruani nimejichokea, hapa ndani ya mji mdogo wa Himo mara bila kutegemea naparamiwa na msichana ananililia, anaomba aokolewe mpenzi wake amelewa anampiga na marungu.
Anaomba msaada nikamchukulie vitu vyake arudi chuoni Kilacha(chuo cha mifugo), jamaa ananifata amefura nimuachie demu wake amfundishe adabu kumuangalia vizuri ni bodaboda ninayemfahamu muda mrefu sana.
Mtoto wazazi wanajibana litoto limepata ufaulu wa ajabu form four/six linakuja kuhangaika na bodaboda huku mtaani.
Mzazi wa huyu binti shame upon you.
yaah she should feel shame for her daughter.Umesema "mzazi wa huyu binti shame upon you"
Halafu bado unauliza wapi umemlaumu mzani?
Are you nut?
Soma kichwa cha uzi, wapi nimewalaumu?
Mkuu hata wewe utakuwa mzazi ni suala la muda tu.Mzazi wa huyu binti shame upon you.
Wazazi wamejitahidi kumfikisha kijana wao hapo.Wapi nimemlaumu mzazi?
Hii ndiyo shida yenu waswahili,mnatumia maneno ya lugha za kigeni kwa mkumbo bila hata kujua maana yake halisi.yaah she should feel shame for her daughter.
Hizo ni lawama? au unakula mjani?