Nawapa pole sana wazazi wenye watoto wa kike vyuoni hasahasa hivi vyuo vya katikati

Shame upon mzazi how? Mzazi anapambana kumsomesha mtoto ila ndo hvyo tena
 
You can take the cow to the river but you can't force it to drink water.
 
nadhani ni suala la maadili tu. leo nilipita sheli moja, nikakuta mzee kama wa miaka 60 hivi, anamtongoza binti attendant wa pump, kwa makadirio yule binti kama ana miaka 20 hajazidi 23. umbile dogo maskini, ila mzee ni bonge la mtu. nimesimama opposite naye, akatongoza, akapewa namba everything nasikia na naona. niliona huruma sana. na binti anaonekana anasubmit kwasababu ya shida, sijui pale sheli wanampa bei gani kwa mwezi na anajiongezaje, mzee ambaye sawa na babu yake kabisa.

mwongopeni Mungu, hii dunia ina mwisho, na mwisho umekaribia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…