Nawapa siri kubwa wanawake: Ukitaka mwanaume akuone kama takataka, vaa wigi

Nawapa siri kubwa wanawake: Ukitaka mwanaume akuone kama takataka, vaa wigi

Hao hao wanaume ndiyo wanao wapa pesa ya kukulia, na kibaya zaidi mke nyumbani anakatazwa lakini huko nje gharama zinatolewa za kununulia mawigi

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
Ngoja nikufafanulie, mtu anayekuchulia wewe kama sex toy hashindwi hata kukufunga kamba shingoni na kukuvuta kama mbwa barabarani huku ukimlamba miguu, hiyo inaweza ikampa mshawasha zaidi wa kingono, its simply and pirely for sexual gratification, lakini kamwa hawezi kumfanyia hivyo mtu anaemheshu katika level ya mke, sijui unanielewa lakini? Hence anakataza nyumbani ila nje kama kawa
 
Mimi navaa wigi nitakavyo mwanaume atajayeniona Mimi takataka ana matatizo ya akili, na Hilo ni tatizo lake kichwani na ninafanya kitu ninachojiskia sio kufuraisha wanaume, wanaume dhaifu ndio huhangaika na Mambo ya kike, kisa hawana hela ya kununulia wapenzi wao mawig original
 
Kiufupi hoja ya mleta mada ni ya kuipuuza 🚮🚮
 
Mimi nilishasema mwanaamke wangu avae chochote apendacho,avae mawigi asuke yebo mikia mirefu(hii naipendaga zaidi1[emoji1787]) anyoe,aweke bleach ni yeye tu apendavyo....

Toka nione hata waimba kwaya,walokole wake za wachungaji na masheikh wanatafuniwa hadi vichakani basi siwezi mjudge mwanamke tena kwa uvaaji au muonekano wake.
 
Back
Top Bottom