Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Uasili wetu tulikuwa hatuvai nguo kama hivi ilikuwa ni lubega tu wanawake wanajifunga nguo kifuani tu kwahiyo unaposema uasili sikuelewi kabisaAsomaye na afahamu!
Hongera mleta mada kwa uzi mzuri, ni vema tukarudi kwenye uasiri wetu wa kibantu ambao hata kiafya unakubalika zaidi.
Tusikubali kutekwa na mambo ya utandawazi.
Kuna mambo ya msingi yanapaswa kubaki yalivyo bila kujali mabadiliko au maendeleo ya kiteknologia.