Nawapa siri kubwa wanawake: Ukitaka mwanaume akuone kama takataka, vaa wigi

Nikiona demu kasuka napagawa sana halafu akiwa ana msambwanda ndio ananoga zaidi
Small-Cornrows.jpg
 
Wajinga hao Sana wanajionaga wazungu ety n mikucha ya bandia pmbfu kbsa huwa ni kutokujiamini ndo kunapelekea mwanamke kuvaa miwigi hata kama ni la milioni 100 nakuona punguani kuvaa minywele bandia Mimi huwa nawakubali wanawake wanajiamini kama cariha Joanah hwa viumbe huwa hawavaagi miwigi na Wana nywele zao naturally kbsa ndo mifano ya kuigwaa kwa jamii

I,m not sure for my examples jaman mniwie radhi
 
Mnatakiwa mtambue kuwa hatuvai kwaajili yenu, ukiniona takataka mwingine ataniona cake. Chagua upendacho usitulazimishe
 
Mimi sijatoa assertion yoyote kwamba mnavaa kwa ajili ya wanaume, ndio maana hata mtu nisiemjua akipita nalo hilo wigi, bado nina liberty ya kumchukulia vile nijuavyo mimi, japo obviously amevaa kwa ajili ya mtu mwingine, au kwa ajili yake mwenyewe, it doesn’t matter, fact is wanaume huchukulia hivyo, haijalishi umevaa kwa ajili ya nani, its totally irellevant. Haisaidii kukaza ubongo kwa makusudi wakati umeshaelewa. Tuishie hapo.
Kama hukumaanisha kuwa hawavai kwa ajili ya wanaume sasa kwanini umemaliza kwa kusema wanaume wanawaona kama Takataka??
 
Wajinga hao Sana wanajionaga wazungu ety n mikucha ya bandia pmbfu kbsa huwa ni kutokujiamini ndo kunapelekea mwanamke kuvaa miwigi hata kama ni la milioni 100 nakuona punguani kuvaa minywele bandia Mimi huwa nawakubali wanawake wanajiamini kama cariha Joanah hwa viumbe huwa hawavaagi miwigi na Wana nywele zao naturally kbsa ndo mifano ya kuigwaa kwa jamii

I,m not sure for my examples jaman mniwie radhi

Sivai mawigi kwasababu sipendi mavitu mengi mengi...ni kama vile nisivyopenda kuvaa nguo nyingi nyingi

Lakini ningekuwa napenda ningeyavaa bila kujali wanaume wananichukulia takataka ama vipi
 
Wajinga hao Sana wanajionaga wazungu ety n mikucha ya bandia pmbfu kbsa huwa ni kutokujiamini ndo kunapelekea mwanamke kuvaa miwigi hata kama ni la milioni 100 nakuona punguani kuvaa minywele bandia Mimi huwa nawakubali wanawake wanajiamini kama cariha Joanah hwa viumbe huwa hawavaagi miwigi na Wana nywele zao naturally kbsa ndo mifano ya kuigwaa kwa jamii

I,m not sure for my examples jaman mniwie radhi
Mbona nyie mnatumia arv za wazungu technology yao kuanzia huduma za kijamii, magari Hadi nguo za mitumba kwahyo mnajifanya wazungu sio? Kwahyo waafrica hatuajimini sio maana hata elimu ni yao ustaarabu ni wao kujifunza kusoma na kuandika ni wao hata huu mtandao isingekuwa wazungu wameanza na sisi tukaiga leo usingekuwa una jimwambafai hapa
 
Wajinga hao Sana wanajionaga wazungu ety n mikucha ya bandia pmbfu kbsa huwa ni kutokujiamini ndo kunapelekea mwanamke kuvaa miwigi hata kama ni la milioni 100 nakuona punguani kuvaa minywele bandia Mimi huwa nawakubali wanawake wanajiamini kama cariha Joanah hwa viumbe huwa hawavaagi miwigi na Wana nywele zao naturally kbsa ndo mifano ya kuigwaa kwa jamii

I,m not sure for my examples jaman mniwie radhi
Hao uliowa mention unawafahamu?
 
Back
Top Bottom