Vi rendra
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 3,271
- 5,617
Ni mwanaume sio kosa lake[emoji2] hawa wavaa mawigi ya hovyo wanaharibu hadhi
[emoji23][emoji23]mleta uzi hayajui hayo yote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23]mleta uzi hayajui hayo yote
[emoji28] [emoji28] [emoji28]Hivi nikija kwako from nowhere nikakwambia, “wewe sio mwarabu“, wakati wala hujasema kwamba wewe ni mwarabu, utajibu nini zaidi ya kuuliza na wewe “kwani nimesema mimi ni mwarabu?” ?
Hivi kwani mke anafanya nini ndani zaidi ya kusex jamani?Ngoja nikufafanulie, mtu anayekuchulia wewe kama sex toy hashindwi hata kukufunga kamba shingoni na kukuvuta kama mbwa barabarani huku ukimlamba miguu, hiyo inaweza ikampa mshawasha zaidi wa kingono, its simply and pirely for sexual gratification, lakini kamwa hawezi kumfanyia hivyo mtu anaemheshu katika level ya mke, sijui unanielewa lakini? Hence anakataza nyumbani ila nje kama kawa
😀😀😀 hallelujah nimependa hitimisho.Kila kitu kina nafasi yake. Na sio kwamba wewe hupendi wingi basi kila mtu hapendi.
Wengine wanavaa occasionally sio kila siku yupo hapo.
Pia kama hujui kuna mawigi ambayo huwezi jua ni wigi mzee... yaani kitu kama kimeotea hapo hapo.
Waavhe wanawanawake wajirembe wawe warembo bwana.
Wewe mwenyewe unaweza kuta mapungufu yako ni kubaa boxer mwezi mzima[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Najua umenielewa, usitafute faraja kwangu, achana na mawigi.Hivi kwani mke anafanya nini ndani zaidi ya kusex jamani?
Hivi kuna tofauti gani na huyo unaowaza ni sex toy?
Kwani ndoa maana yake ni nini?
Mi huwa siwaelewagi kabisa kuona kama mke eti ndio anathamani sana na si sex toy?
Sasa mtu akununuliwa wigi la laki na zaidi akapendeza na mke akanyoa huko nyumbani ndio waona kaonewa huyu sex toy unayemwita?
Kweli aisee,ulijuaje?.Nawaambia huu ukweli ambao pengine mwanaume wako anashindwa kukwambia labda kutokana na kuhofia utajisikia vibaya.
Ila aminini hili kuanzia leo, mwanamke akivaa wigi anakua takataka kabisa, sijui kwanini, ila huo ndio ukweli.
Ndio.Nijuavyo mimi Wanawake mnajiremba kwasababu ya sisi wanaume.Kwani wanavaa mawigi kwa ajili ya wanaume?
Wengine wana vipara.Sio kosa lao wamenyimwa nywele nzuri
Utakosa kidume cha mbegu shauri yako.Mimi navaa wigi nitakavyo mwanaume atajayeniona Mimi takataka ana matatizo ya akili, na Hilo ni tatizo lake kichwani na ninafanya kitu ninachojiskia sio kufuraisha wanaume, wanaume dhaifu ndio huhangaika na Mambo ya kike, kisa hawana hela ya kununulia wapenzi wao mawig original
Nikose tu mwanaume anayeshindwa kufanya Mambo ya kiume na kuniambia nisifanye nitakacho hanifai huyo, lazima aelewe vitu ninavofanya ni kwa sababu ni mwanamke na hormones za kike ningekuwa wakiume navaa mawigi na kujipodoa ana haki ya kunikatazaUtakosa kidume cha mbegu shauri yako.
me mwenyewe nimewaza kesho nikaliseti lanhu [emoji23][emoji23][emoji23]
mkuu mi mmoja wapo siyapendi mawigi, lakini nilikuja pata sababu kwa mpenzi wangu aliniambia kua na nywele natural tena ziwe nyingi inakua ngumu kuzihandle dawa, kuchana kila ahsubuhi, kufunga zikae vizuri kila mda, hvyo basi inampelekea kuvaa wigi ili iwe ni kupaka mafuta na kuondoka.
nini maana ya kuvaa kigodoro mkuu wa wakuu?Soon utakuja kukubaliana na wazo lake la kuvaa kigodoro mkuu maana sababu zake nayo haiko mbali na hiyo aliyokupa
nini maana ya kuvaa kigodoro mkuu wa wakuu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Halafu wakivaa hayo majitu wanavyojishongondoa kama wazungu koko.....
Mara arudishe nywele nyuma kwa kidole, mara ajitikise bichwa eti nywele zirudi nyuma kama za mzungu. Amejitwika na makucha kama jini maimuna.
Wigi lenyewe gumu kama katani grade C. Akizungusha bichwa makatani yanajigeuza mzobe mzobe kama helmet.
Halafu sijui nani kawaambia wanapendeza?