Nawapa siri kubwa wanawake: Ukitaka mwanaume akuone kama takataka, vaa wigi

950D9ABF-56CD-485D-88FD-556ACA48E5CD.jpeg
 
Dah...halafu unamsifia kwamba ana nywele nzuri na yeye anakujibu asante [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
😹😹😹 ko mlitaka tusiseme ahsante?
Babe wangu ananisifiaga mpk kope zangu za bandia na wala sio issue, kikubwa kibwamsa kipo og 🤣🤣🤣
 
Wengine bila mawigi wakipishana na Lamata fasta anakuomba ucheze scene ya kutisha kwenye jua kali 🤣🤣🤣
 
Nawaambia huu ukweli ambao pengine mwanaume wako anashindwa kukwambia labda kutokana na kuhofia utajisikia vibaya.

Ila aminini hili kuanzia leo, mwanamke akivaa wigi anakua takataka kabisa, sijui kwanini, ila huo ndio ukweli.
Na mengine yananuka sana, mengine yamekaa kama wamevaa kikapu kichwani, yaani tafarani. Nashauri waache kuyavaa wanapendeza sana na wanakuwa natural
Nawaambia huu ukweli ambao pengine mwanaume wako anashindwa kukwambia labda kutokana na kuhofia utajisikia vibaya.

Ila aminini hili kuanzia leo, mwanamke akivaa wigi anakua takataka kabisa, sijui kwanini, ila huo ndio ukweli.
 
Nawaambia huu ukweli ambao pengine mwanaume wako anashindwa kukwambia labda kutokana na kuhofia utajisikia vibaya.

Ila aminini hili kuanzia leo, mwanamke akivaa wigi anakua takataka kabisa, sijui kwanini, ila huo ndio ukweli.
Mkuu mbona vingine vya kuonesha uelewa wao kiduchu na hawajitambui umeviacha?

Mwanamke smart unakuta kajipaka mkorogo hadi ananjijeruhi mashavuni!

Huu upuuzi nadhani uwekwe kwenye beti za wimbo wa taifa ili usaidie kulaani upumbaf wanaoufanya baadhi ya kina mama.
 
Back
Top Bottom