Nawapa siri kubwa wanawake: Ukitaka mwanaume akuone kama takataka, vaa wigi

Nawapa siri kubwa wanawake: Ukitaka mwanaume akuone kama takataka, vaa wigi

Mimi navaa wigi nitakavyo mwanaume atajayeniona Mimi takataka ana matatizo ya akili, na Hilo ni tatizo lake kichwani na ninafanya kitu ninachojiskia sio kufuraisha wanaume, wanaume dhaifu ndio huhangaika na Mambo ya kike, kisa hawana hela ya kununulia wapenzi wao mawig original
wigi original sh.ngapi?
 
Hahaaa naweza tu mbona kuishi mwenyewe bila yoyote mimi
Huo sio utaratibu wa maisha,binadamu tunaishi wawili wawili,huoni hata ndege angani wanatembea wawili wawili, Me na Ke?,Lazima upate wa kukuliwaza na kukupoza.
 
Huo sio utaratibu wa maisha,binadamu tunaishi wawili wawili,huoni hata ndege angani wanatembea wawili wawili, Me na Ke?,Lazima upate wa kukuliwaza na kukupoza.
Mimi naweza kujipoza mwenyewe,na hivi sitegemei furaha yangu kwa watu naishi kwa Raha mno moyoni Mimi, ctaki mazoea na watu
 
Mmenichekesha sana wadau!!!! hivi zile wigi zilizokuwa kama manyoya ya jogoo zilipotelea wapi?????
 
Back
Top Bottom