Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NdiyoUnamaanisha wanaume tuna mfumo wa ki-sisiem-u?
We all love head, even from the one we really appreciate, how are we done for?If a girl gives head. You are done for... Me.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
If a Girl gives head, it's a major Turn off, for me!We all love head, even from the one we really appreciate, how are we done for?
kama mdangaji sawa lakini siyo mkeMimi navaa wigi nitakavyo mwanaume atajayeniona Mimi takataka ana matatizo ya akili, na Hilo ni tatizo lake kichwani na ninafanya kitu ninachojiskia sio kufuraisha wanaume, wanaume dhaifu ndio huhangaika na Mambo ya kike, kisa hawana hela ya kununulia wapenzi wao mawig original
kope vipi unaweka pia?Wanaume washamba huhangaika na Mambo ya wanawake Sana Mara wigi vile Mara kile mpaka kero, na hao wasiovaa mawigi na wahuni wengi ndio wameolewa kuliko wanaojiacha rafu
Naweka mkuu Mara moja moja sanakope vipi unaweka pia?
Mimi siishi jinsi mtu mwingine anataka naishi maisha yangu mkuu, so sijali noise za watu wengine kuhusu mimikama mdangaji sawa lakini siyo mke
Its a hyper turn on for every other man i guess 🤣🤣🤣If a Girl gives head, it's a major Turn off, for me!
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Wigi=uchafuDah...halafu unamsifia kwamba ana nywele nzuri na yeye anakujibu asante [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Imagine! But it is what it is.Its a hyper turn on for every other man i guess [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kama mdangaji sawa lakini siyo mke
Mi yakidondokaga huwa yananichekesha sana.
Hasa kama wakiwa wanapigana.
Sijui kwa nini huwa wanakimbilia kuvutana nywele.
Sasa ukute mmoja wao kavutwa nywele na nywele zenyewe za wigi 🤣.
Pure hilarity.