Nawapa siri kubwa wanawake: Ukitaka mwanaume akuone kama takataka, vaa wigi

Sawa
Mimi navaa wigi nitakavyo mwanaume atajayeniona Mimi takataka ana matatizo ya akili, na Hilo ni tatizo lake kichwani na ninafanya kitu ninachojiskia sio kufuraisha wanaume, wanaume dhaifu ndio huhangaika na Mambo ya kike, kisa hawana hela ya kununulia wapenzi wao mawig original
 
Sasa haujaolewa halafu unakataa kuja PM,isije fika miaka ile ya kukesha madhabahuni ukisaka mume kwa udi na uvumba
Mimi niolewe au nisiolewe I don't care na amani, na siwezi kesha kulia niolewe, Mimi humwomba Mungu na kumshjkuru anizidiehie kipato hyo ndo furaha. Hyo kukesha eti nipate mwanaume I will never waste my energy and my time
 
Hizi nyuzi za mawigi zimefufuka Tena[emoji1787]
Kuna ule mmoja yaani nilicheka nusu nizimie...wanaume nyie ni wanafiki Sana.
 
Mimi niolewe au nisiolewe I don't care na amani, na siwezi kesha kulia niolewe, Mimi humwomba Mungu na kumshjkuru anizidiehie kipato hyo ndo furaha. Hyo kukesha eti nipate mwanaume I will never waste my energy and my time
Sawa, mume sio lazima, ila hakikisha unashika mimba na kuzaa angalau, hakuna atakae kuuliza kuhusu mume kama una mtoto wa kwako unayemlea, trust me.
 
Umeandika ukweli Ila huyo anayefatilia yangu ana shida, maana ndoa ni exaggerated Sana kuliko uhalisia
 
Mimi niolewe au nisiolewe I don't care na amani, na siwezi kesha kulia niolewe, Mimi humwomba Mungu na kumshjkuru anizidiehie kipato hyo ndo furaha. Hyo kukesha eti nipate mwanaume I will never waste my energy and my time
Subiri msimu wa baridi,tuone km utaendelea na kauli yako hii
 
Mimi navaa wigi nitakavyo mwanaume atajayeniona Mimi takataka ana matatizo ya akili, na Hilo ni tatizo lake kichwani na ninafanya kitu ninachojiskia sio kufuraisha wanaume, wanaume dhaifu ndio huhangaika na Mambo ya kike, kisa hawana hela ya kununulia wapenzi wao mawig original
Afu wew[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom