Nawapa siri kubwa wanawake: Ukitaka mwanaume akuone kama takataka, vaa wigi

Nawapa siri kubwa wanawake: Ukitaka mwanaume akuone kama takataka, vaa wigi

Hivi nikija kwako from nowhere nikakwambia, “wewe sio mwarabu“, wakati wala hujasema kwamba wewe ni mwarabu, utajibu nini zaidi ya kuuliza na wewe “kwani nimesema mimi ni mwarabu?” ?

Acha ngonjera jibu swali
Nilichouliza hakipo mbali na hoja yako
 
Acha ngonjera jibu swali
Nilichouliza hakipo mbali na hoja yako
Mimi sijatoa assertion yoyote kwamba mnavaa kwa ajili ya wanaume, ndio maana hata mtu nisiemjua akipita nalo hilo wigi, bado nina liberty ya kumchukulia vile nijuavyo mimi, japo obviously amevaa kwa ajili ya mtu mwingine, au kwa ajili yake mwenyewe, it doesn’t matter, fact is wanaume huchukulia hivyo, haijalishi umevaa kwa ajili ya nani, its totally irellevant. Haisaidii kukaza ubongo kwa makusudi wakati umeshaelewa. Tuishie hapo.
 
Mimi nilishasema mwanaamke wangu avae chochote apendacho,avae mawigi asuke yebo mikia mirefu(hii naipendaga zaidi1[emoji1787]) anyoe,aweke bleach ni yeye tu apendavyo....

Toka nione hata waimba kwaya,walokole wake za wachungaji na masheikh wanatafuniwa hadi vichakani basi siwezi mjudge mwanamke tena kwa uvaaji au muonekano wake.

Kweli kabisa cha msingi nikuwagegeda tuu
 
Asomaye na afahamu!

Hongera mleta mada kwa uzi mzuri, ni vema tukarudi kwenye uasiri wetu wa kibantu ambao hata kiafya unakubalika zaidi.

Tusikubali kutekwa na mambo ya utandawazi.

Kuna mambo ya msingi yanapaswa kubaki yalivyo bila kujali mabadiliko au maendeleo ya kiteknologia.
 
Mimi sijatoa assertion yoyote kwamba mnavaa kwa ajili ya wanaume, ndio maana hata mtu nisiemjua akipita nalo hilo wigi, bado nina liberty ya kumchukulia vile nijuavyo mimi, japo obviously amevaa kwa ajili ya mtu mwingine, au kwa ajili yake mwenyewe, it doesn’t matter, fact is wanaume huchukulia hivyo, haijalishi umevaa kwa ajili ya nani, its totally irellevant. Haisaidii kukaza ubongo kwa makusudi wakati umeshaelewa. Tuishie hapo.

Wewe ndio unakaza ubongo kwa swali ambalo jibu lake lilikuwa ni ndio au hapana

Mwisho wa siku ulichoandika hapo juu na kwenye comment yako hii inaonesha umehitimisha kwamba unahisi wanawake wanavaa mawigi kwa ajili ya wanaume....pole

Naishia hapa
 
Ina depend na mvaaji, kunawasichana wazuri hata anyoe kipara.
Pia wigi linawafaa kigodo wenye rangi ya mtume. Black girls hupendeza zaidi wakiwa na nywele zao natural
 
Ngoja nikufafanulie, mtu anayekuchulia wewe kama sex toy hashindwi hata kukufunga kamba shingoni na kukuvuta kama mbwa barabarani huku ukimlamba miguu, hiyo inaweza ikampa mshawasha zaidi wa kingono, its simply and pirely for sexual gratification, lakini kamwa hawezi kumfanyia hivyo mtu anaemheshu katika level ya mke, sijui unanielewa lakini? Hence anakataza nyumbani ila nje kama kawa

Hii umeijibu vizuri sikutarajia kama ungejibu kiasi hicho!

Isipokuwa kama ni kweli uyasemayo kwa niaba ya wenzio mimi nawashauri muache kabisa kuchepuka na kuwashadadia hao michepuko wavaa mawigi na kushonea na wapaka mekaps

Unajua ukisimamia unachokiamini na kukipenda kwa vitendo itapendeza!

Siyo ndani kwa Mkeo unapenda awe kwenye uasiri lakini kwa mchepuko unakubaliana na mawigi huoni kunakuwa na mkanganyiko ?

Tafakari!

Actually wanawake wengi huambiana usikubali mumeo anakwambia sababu kule nje wanavutiwa na hayo hayo mawigi [emoji108][emoji108]

Mimi nazani mngeacha kwenda nje hata wake zetu wangewatii ktk kutovaa mawigi kushonea mawigi , kujikanda mekaps n.k
 
Mimi nilishasema mwanaamke wangu avae chochote apendacho,avae mawigi asuke yebo mikia mirefu(hii naipendaga zaidi1[emoji1787]) anyoe,aweke bleach ni yeye tu apendavyo....

Toka nione hata waimba kwaya,walokole wake za wachungaji na masheikh wanatafuniwa hadi vichakani basi siwezi mjudge mwanamke tena kwa uvaaji au muonekano wake.
Haaa haaa , wengi wanao kataa wanawake wasivae kwa wake zao kweli wanaweza zuia, lakini kwa michepuko mpaka bei wanazijua
 
Haaa haaa , wengi wanao kataa wanawake wasivae kwa wake zao kweli wanaweza zuia, lakini kwa michepuko mpaka bei wanazijua
Wakwangu avae tu japo sijawahi kumuona akivaa ila anayo anasemaga mpka itokee emergency ndio atavaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]...
 
Back
Top Bottom