FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Ngoja nikufafanulie, mtu anayekuchulia wewe kama sex toy hashindwi hata kukufunga kamba shingoni na kukuvuta kama mbwa barabarani huku ukimlamba miguu, hiyo inaweza ikampa mshawasha zaidi wa kingono, its simply and pirely for sexual gratification, lakini kamwa hawezi kumfanyia hivyo mtu anaemheshu katika level ya mke, sijui unanielewa lakini? Hence anakataza nyumbani ila nje kama kawaHao hao wanaume ndiyo wanao wapa pesa ya kukulia, na kibaya zaidi mke nyumbani anakatazwa lakini huko nje gharama zinatolewa za kununulia mawigi
Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
Komwe kama RihannaKuna wengine bila mawigi huwezi ongozana nao
Mimi navaa wigi nitakavyo mwanaume atajayeniona Mimi takataka ana matatizo ya akili, na Hilo ni tatizo lake kichwani na ninafanya kitu ninachojiskia sio kufuraisha wanaume, wanaume dhaifu ndio huhangaika na Mambo ya kike, kisa hawana hela ya kununulia wapenzi wao mawig original
Sure aiseeKiufupi hoja ya mleta mada ni ya kuipuuza [emoji706][emoji706]
Nani kasema wanavaa kwa ajili ya wanaume?Kwani wanavaa mawigi kwa ajili ya wanaume?
Nani kasema wanavaa kwa ajili ya wanaume?