FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,956
- 47,046
😀😀😀 Nani Tena Huyo Mkuu?Kuna mtu huko tayari kisha uziwa Mbuzi kwenye Gunia.
Kuna wengine bila mawigi huwezi ongozana nao
Huyu atakuwa hana pesa ya kumchukulia waifu, afu wigi usiwe nalo moja ndo itakuwa uchafu km utalirudia kila siku .... Angekuwa na nywele angetia ata stichSantee sana son, yaani kichwa kama cha dude nikakiache wazi kuogopa kuachwa lol😆
Si ndio! Hapa kwa mwanaume asiye na ela ya kumuhudumia mkewe anajifanya anapenda wanawake natural kama misitu😁Huyu atakuwa hana pesa ya kumchukulia waifu, afu wigi usiwe nalo moja ndo itakuwa uchafu km utalirudia kila siku .... Angekuwa na nywele angetia ata stich
Tunatoa pesa za mawigi huko nje ili wajisahau kulinda mgongo.Hao hao wanaume ndiyo wanao wapa pesa ya kununulia, na kibaya zaidi mke nyumbani anakatazwa lakini huko nje gharama zinatolewa za kununulia mawigi
Umenena vyema MkuuNawaambia huu ukweli ambao pengine mwanaume wako anashindwa kukwambia labda kutokana na kuhofia utajisikia vibaya.
Ila aminini hili kuanzia leo, mwanamke akivaa wigi anakua takataka kabisa, sijui kwanini, ila huo ndio ukweli.