Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 15,331
- 22,307
Kama ana ulazo,asivae wifi?!!Nawaambia huu ukweli ambao pengine mwanaume wako anashindwa kukwambia labda kutokana na kuhofia utajisikia vibaya.
Ila aminini hili kuanzia leo, mwanamke akivaa wigi anakua takataka kabisa, sijui kwanini, ila huo ndio ukweli.