Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Binafsi naita Sadaka
Sadaka ni lango la mafanikio
Hata waabudu shetani wanatoa Sadaka
Mungu aliagiza aletewe Sadaka ya Isaka, mtoto pekee wa Ibrahimu ili kuzidi kumfunulia mafanikio Ibrahimu
NB: Hela usiyoitolea jasho hautaona mafanikio yake, easy come easy go
Ni kweli, japo ni vyema kutoa Sadaka sehemu sahihiHili wengi hawalijui au wanalijua lakini wanapuuza
Ni kweli, japo ni vyema kutoa Sadaka sehemu sahihi
Sadaka huambatana na nia(kunuiza), kwamba unatoa Sadaka fulani ili kuomba jambo fulani
Mfano naomba kwa mizimu, mke wangu abebe mimba baada ya kusubiria miaka 10 ya ndoa, ombi langu linaambata na Sadaka ya Kondoo kwa mizimu
Baada ya miezi 3, mke anabeba mimba 🙏🙏
kuna watu nyuma yao wanaofanya hayo.Kuna watu hawatoi sadaka popote na wanafanikiwa. Siri yao ni nini?
Cha bure hakidumu, Hata ujitahidi vipi kukilinda.
Hakiwezi kukupeleka popote.
Wanasema tumepewa bure tutoe bure 😜
Haya uliyoyasema hayana udhibitisho kwa asilimia 100
Ila kuna kutoa sadaka huku hakuna shaka,inasemwa kadri unavyotoa ndio kadri unavyozidishiwa, hiyo imedhibiti kwenye vitabu vya dini, na matajiri wanajua vizur sana hii siri,ndio maana huwa wanatoa na kuzidishiwa zaidi
Sadaka pia ni sehemu ya kufanyiwa wepesi mambo yako,na ubakhiri ni sehemu ya kufanyiwa mambo yako yasiwe mepesi
Sadaka pia ni sehemu ya kutibu maradhi yetu,toa sadaka kwa nia ya kupata nafuu kwa maradhi yako
Sadaka pia hufuta madhambi yetu,imedhibiti kwenye vitabu vya dini
Lakini sikubaliana na wewe kwamba eti asiye toa kuwa amelaaniwa au analaaniwa!
Hapana! Hapa haupo sahihi hata kidogo,unless hujui maana ya laana.
Asante
Kuna watu hawatoi sadaka popote na wanafanikiwa. Siri yao ni nini?
Dunia haina neno bure ukipata bure lazma ulipe utake usitake ila tunapuuza.
At this piont mtibeli thank you for the reminder😭
Hakuna kitu kama hicho mkuu,sikulazimishi uniamini,baki na msimamo wako nami na msimamo wangu, simple!Soma vizuri tena.
Title iko wazi kabisa.
Kama hutaki kutoa usipokee. Hiyo ni kanuni.
Ukipokea tafsiri yake kuna sehemu unatakiwa utoe. Nature yenyewe iko wazi. Inaeleza kila kitu.
Nitakuwa wa mwisho duniani kote kukubaliana na hili wazo, sadaka si ishu ya kitoto kuhusu mafanikio kwa kila jambo.Kuna watu hawatoi sadaka popote na wanafanikiwa. Siri yao ni nini?