Nawapa siri nyingine; vitu vya bure vina laana. Ukitaka kupata sharti utoe kidogo

Nawapa siri nyingine; vitu vya bure vina laana. Ukitaka kupata sharti utoe kidogo

Lipieni hewa mnayovuta bure hapo ndio nitawaelewa, kila kitu kimewekwa bure, ni tamaa na kujilimbikizia mali kwa mwanadamu kulikopelekea wachache kuhodhi vingi mwishowe kuwaacha wengi kwenye scarcity. Mbona tunagawa bure migodi yetu, mbuga zetu, mashamba yetu kwa jina la uwekezaji na kuwaacha wakijichotea kila kitu na kutuacha patupu?. Makinikia yalikuwa yanatoka bure kabisa mpaka mwendazake akasimamia kimtindo, naamini kwa sasa wanajichukulia tu mabilionea wa Acacia.

Babu zetu waligawana mashamba bure kabisa, wamekuja matapeli wa maghalibi kutufundisha References zao kama hizo kwenye bible aMBAZO sio size yeTu, hao ni wayahudi na warumi huko, neno bure lina-exist KWA NINI? sababu bure ipo na ni fare tu, inapobidi. Hiyo ya kutoa sadaka mtakuja watoa mpaka watoto zenu kisa tama ya dunia hadaa.

Hakuna kitu cha bure bure hapa Duniani. Hata hiyo hewa unailipia kwa namna usiyoijua.
 
Ndio 😹
Mpatane bana nyie bado mnapendana..!!
Tena wewe unampenda kiukweli, hata kuolewa kwake kumekuumiza basi ufanyeje mwali washambeba..!!

Mimi simtaki tena.
Yeye anasema ninapilipili mbuzi. Acha watumiaji wa chilsosi wafaidi pilipili mbuzi ya Mtibel
 
Mimi simtaki tena.
Yeye anasema ninapilipili mbuzi. Acha watumiaji wa chilsosi wafaidi pilipili mbuzi ya Mtibel
😹😹😹 Hiko sasa kisirani mtibeli..!!

Hizo mi najua zilikua hasira, si unajua vitani silaha yoyote inatumika kupigana na adui yako..!! 😹😹

Sema mwanaume akiambiwa hilo neno lazima aumie hivi kwanini??

Nyie mnapendana niaminini mimi.
Ukiona maex wanapigana vijembe ujue hao bado kuna penzi ndani yao..!!
Na ikitokea mmekutana nyie lazima mwisho wa ugomvi wenu mpeane tena utramu..!!

Tena msipokua makini na mimba mtapeana hiyo siku..!! 😹😹

Kama nadanganya jaribu mkutane muone nini kitatokea..!!
 
Back
Top Bottom