andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Kuna sehemu wanatoa ila hawatangazi.Kuna watu hawatoi sadaka popote na wanafanikiwa. Siri yao ni nini?
Anko nakushauri toa sadaka mamaangu.

Hakuna kitu kama hicho mkuu,sikulazimishi uniamini,baki na msimamo wako nami na msimamo wangu, simple!
Kuna sehemu wanatoa ila hawatangazi.
Anko nakushauri toa sadaka mamaangu.
madini yamenyooka Mkuu lakini umechanganya Saikolojia na mambo ya Kiroho.
1. Hakuna Laana kwenye Vya Bure Wanaopenda vya bure hawafeli kwa sababu wamelaaniwa; kisaikolojia ubongo hauthamini kitu kisicho na gharama wakinga wanaita EFFORT JUSTIFICATION. Wanashindwa kwa sababu ya uvivu, utegemezi, na kukosa nidhamu ya uzalishaji.
2. Kutunza na Kutoa ni Social Capital sio Dhabihu
Ukienda ugenini na zawadi au ukitunza mtu aliyekufurahisha, unajenga mtandao wa heshima na kukubalika kijamii Wahaya wanaita Law of Reciprocity. Haina uhusiano na mbingu wala dini wala mungu ambavyo ni fiction za vitisho
3. Haya ishu ya Sadaka Hapo kwenye kusema mafundisho ya Sheikh/Mchungaji "hayatafanya kazi usipompa sehemu ya jasho lako" umepiga ramli mkuu. Maarifa yanafanya kazi kwa sababu umeyafanyia kazi (Execution), na sio kwa sababu umetoa sadaka. Watu wangapi wanajifunza vitu bure YouTube na wanafanikiwa?
Huu ni Uchumi na Saikolojia ya Tabia. Tuache kuita matokeo ya ujinga na uvivu wetu kuwa ni Laana
HAKUNA LAANA APA DUNIANI
Hata ya sabuni, deodorant na nauli huwa haupewi ?Wanasema tumepewa bure tutoe bure 😜

yes hapo uko sahihiLugha ndio inachanganya watu.
Unaposema Laana ni sawa na useme adhabu.
Unaposema dhambi ni kama useme uhalifu.
Ni lugha tuu.
yes hapo uko sahihi
ila kwenye kuhusisha mambo ya kiroho na hii ishu haiko sawa
Je na mimi ambaye natu,wa vya bure na mabibi ya kizungu inakuwake Taikon? Hata hivyo siyo bure tu moto nawapelekea huku nikivuta taswira ya vale nafaka.NAWAPA SIRI NYINGINE; VITU VYA BURE VINA LAANA. UKITAKA KUPATA SHARTI UTOE KIDOGO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Huwezi ukafanikiwa kwa kitu ulichopewa bure au ulichokipata bure bila kukitolea jasho au sadaka au kitu chochote. Hii ni siri ambayo wengi hawaijui lakini walifundishwa wakiwa watoto kwa namna nyingi.
Angalia watu wanaopewa vitu vya burebure karibu wote wanalaana. Wanamaisha magumu. Ni maskini, tegemezi na watumwa.
Angalia wanawake wengi. Ni maskini, wanalaana na ngumu kufanikiwa kwa sababu wanapenda vitu vya bure na siku zote mtu anayepokea vitu vya burebure bila kulipia gharama lazima alaanike. Hawezi fika popote.
Huwezi taka ulipiwe nauli tuu burebure utegemee utakuwa mtu wa maana. Umejilaani mwenyewe.
Wanaojua siri hizi hawataki kusema ukweli wote.
Katika mafundisho ya Dini Kuna kitu kinaitwa Dhabihu, zaka na Sadaka.
Kikanuni, Mungu nimuweza wa yote. Anakila kitu lakini aliweka mfumo wa ukitaka kupokea sharti utoe kidogo. Unaitwa uwekezaji.
Ukipata kitu, unatoa sehemu ya kile kitu unamrudishia aliyekupatia. Hata kama sio siku hiyohiyo.
Ukienda ugenini. Inasemwa usiende mikono mitupu. Usikae burebure. Na mgeni akiondoka kwako asitoke mikono mitupu. Hizo ni kanuni za kustawi, kuneemeka na kufanikiwa. Najua haya mambo wengi hawajafundishwa na waliofundishwa wanapuuza.
Uliwahi kufika sehemu ukaona watu wanatunza?
Yaani umeenda labda kwenye tamasha fulani, kuna waimbaji au wasanii. Wanafanya burudani alafu ukaona baadhi ya watu wakitoka kuwatunza pesa. Wale sio wajinga.
Mtu akikufurahisha sana. Asikufurahishe bure. Kama una hata buku tano mpe. Utakuja kunishukuru.
Unaenda Kanisa au msikitini. Sheikhe au Mchungaji kaongea mambo ambayo umejifunza sana au yamekubariki. Usikubali kujifunza bure au kubarikiwa burebure. Hazitafanya kazi. Hutozifanyia chochote.
Hakunaga kitu cha bure ambacho utakifanyia jambo la maana. Zaidi kitakuletea matatizo.
Hapo ndipo umuhimu wa kushukuru unapojitokeza. Unashukuru kwa jambo la baraka na lililokufurahisha.
Pili, unatoa kidogo sehemu ya jasho(mali yako) kulipia kile kilichokubariki au kufurahisha. Hiyo ni kufanya baraka hizo ziwe na kibali bila vizuizi.
Nimemaliza. Hiyo ni kwa wenye ufahamu.
TaikonMaster
Kwa sasa Masaki, Dar es salaam
Wanakulipa TSH ngapi hao Mabibi ?Je na mimi ambaye natu,wa vya bure na mabibi ya kizungu inakuwake Taikon? Hata hivyo siyo bure tu moto nawapelekea huku nikivuta taswira ya vale nafaka.
adriz
kimsingi umeleta Trichotomy ambayo tunarudi kule kule kwenye iman ya kikrsto na according to post yako umesema mambo ya kanisa pia kuhusu wachungaji pale kumbuka ambapo spiritualism hapo ni fiction tuMambo ya kiroho na kimwili yako sambamba.
Hii elimu wengi imewapita.
Binadamu ana mwili, Roho na nafsi.
Mwili ni baolojia, Nafsi ni Psychology, roho ni mambo ya spiritualism,
Na sisi wenye mitaji ya kupewa na wazazi napo tunapaswa kufanya nini?NAWAPA SIRI NYINGINE; VITU VYA BURE VINA LAANA. UKITAKA KUPATA SHARTI UTOE KIDOGO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Huwezi ukafanikiwa kwa kitu ulichopewa bure au ulichokipata bure bila kukitolea jasho au sadaka au kitu chochote. Hii ni siri ambayo wengi hawaijui lakini walifundishwa wakiwa watoto kwa namna nyingi.
Angalia watu wanaopewa vitu vya burebure karibu wote wanalaana. Wanamaisha magumu. Ni maskini, tegemezi na watumwa.
Angalia wanawake wengi. Ni maskini, wanalaana na ngumu kufanikiwa kwa sababu wanapenda vitu vya bure na siku zote mtu anayepokea vitu vya burebure bila kulipia gharama lazima alaanike. Hawezi fika popote.
Huwezi taka ulipiwe nauli tuu burebure utegemee utakuwa mtu wa maana. Umejilaani mwenyewe.
Wanaojua siri hizi hawataki kusema ukweli wote.
Katika mafundisho ya Dini Kuna kitu kinaitwa Dhabihu, zaka na Sadaka.
Kikanuni, Mungu nimuweza wa yote. Anakila kitu lakini aliweka mfumo wa ukitaka kupokea sharti utoe kidogo. Unaitwa uwekezaji.
Ukipata kitu, unatoa sehemu ya kile kitu unamrudishia aliyekupatia. Hata kama sio siku hiyohiyo.
Ukienda ugenini. Inasemwa usiende mikono mitupu. Usikae burebure. Na mgeni akiondoka kwako asitoke mikono mitupu. Hizo ni kanuni za kustawi, kuneemeka na kufanikiwa. Najua haya mambo wengi hawajafundishwa na waliofundishwa wanapuuza.
Uliwahi kufika sehemu ukaona watu wanatunza?
Yaani umeenda labda kwenye tamasha fulani, kuna waimbaji au wasanii. Wanafanya burudani alafu ukaona baadhi ya watu wakitoka kuwatunza pesa. Wale sio wajinga.
Mtu akikufurahisha sana. Asikufurahishe bure. Kama una hata buku tano mpe. Utakuja kunishukuru.
Unaenda Kanisa au msikitini. Sheikhe au Mchungaji kaongea mambo ambayo umejifunza sana au yamekubariki. Usikubali kujifunza bure au kubarikiwa burebure. Hazitafanya kazi. Hutozifanyia chochote.
Hakunaga kitu cha bure ambacho utakifanyia jambo la maana. Zaidi kitakuletea matatizo.
Hapo ndipo umuhimu wa kushukuru unapojitokeza. Unashukuru kwa jambo la baraka na lililokufurahisha.
Pili, unatoa kidogo sehemu ya jasho(mali yako) kulipia kile kilichokubariki au kufurahisha. Hiyo ni kufanya baraka hizo ziwe na kibali bila vizuizi.
Nimemaliza. Hiyo ni kwa wenye ufahamu.
TaikonMaster
Kwa sasa Masaki, Dar es salaam
Lipieni hewa mnayovuta bure hapo ndio nitawaelewa, kila kitu kimewekwa bure, ni tamaa na kujilimbikizia mali kwa mwanadamu kulikopelekea wachache kuhodhi vingi mwishowe kuwaacha wengi kwenye scarcity. Mbona tunagawa bure migodi yetu, mbuga zetu, mashamba yetu kwa jina la uwekezaji na kuwaacha wakijichotea kila kitu na kutuacha patupu?. Makinikia yalikuwa yanatoka bure kabisa mpaka mwendazake akasimamia kimtindo, naamini kwa sasa wanajichukulia tu mabilionea wa Acacia.Hili wengi hawalijui au wanalijua lakini wanapuuza
Unatoa sadaka kwa nani?Binafsi naita Sadaka
Sadaka ni lango la mafanikio
Hata waabudu shetani wanatoa Sadaka
Mungu aliagiza aletewe Sadaka ya Isaka, mtoto pekee wa Ibrahimu ili kuzidi kumfunulia mafanikio Ibrahimu
NB: Hela usiyoitolea jasho hautaona mafanikio yake, easy come easy go
Watu kama akina nani?kuna watu nyuma yao wanaofanya hayo.