Nawapenda sana atoto, valentina, Evelyn Salt na Miss Chaga

Hahahaaaa! ama kweli mtani tu ninae, nishindwe mwenyewe

Fata maelekezo baada ya hapo kama huto onana na atoto na kumwambia unacho taka kumwambia basi ntamwambia invisible anipe ban ya milele.
Serious fata maelekezo Mushi.
 
Sasa badala utake zawadi kubwa kubwaaaa!! kumbe hujui kutumia fursa eeh!!
Mtani usiwe na wasi hiyo ni test ..kama hawezi kutoa ndogo hata kubwa hatoweza Teh Teh halafu baadae itabidi akatafute senene zilizopo!
 
Mtani usiwe na wasi hiyo ni test ..kama hawezi kutoa ndogo hata kubwa hatoweza Teh Teh halafu baadae itabidi akatafute senene zilizopo!

Hahahahaa! nimeipenda hiyo, senene si ulisema hawapatikani sasahivi?
 
heeeee laiti ungewaona usingetype hapa hivi unataka nikupeleke ukawaone walivyo hahahaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…