Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Teh Teh mtani nimeiona fursa!Khaah!! mtani ndio unanigawa tuuuu,kweli umenichoka.
Wanasema kamatia Fursa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh Teh mtani nimeiona fursa!Khaah!! mtani ndio unanigawa tuuuu,kweli umenichoka.
Teh Teh hebu mfanye awe gold member halafu mambo mengine niachie mimi!
Teh Teh mtani nimeiona fursa!
Wanasema kamatia Fursa.
Mtani ina maana hutaki zawadi toka moshi?Mtani jamani unaniangusha.
Atoto pesa
Mtani ina maana hutaki zawadi toka moshi?
Teh Teh
Mtani naona baraka zinazidi kukufuata...Teh Teh.abee!
Mtani usiwe na wasi hiyo ni test ..kama hawezi kutoa ndogo hata kubwa hatoweza Teh Teh halafu baadae itabidi akatafute senene zilizopo!Sasa badala utake zawadi kubwa kubwaaaa!! kumbe hujui kutumia fursa eeh!!
Teh Teh ashindwe yeye tuu...Hahahaaaa! ama kweli mtani tu ninae, nishindwe mwenyewe
Mtani naona baraka zinazidi kukufuata...Teh Teh.
Mtani usiwe na wasi hiyo ni test ..kama hawezi kutoa ndogo hata kubwa hatoweza Teh Teh halafu baadae itabidi akatafute senene zilizopo!
Teh Teh huyo itabidi awatafute tuu hakuna namna..Hahahahaa! nimeipenda hiyo, senene si ulisema hawapatikani sasahivi?
Hahahaha mtani umekuwa mchagga ...baraka zinaanza halafu pesa zina kufata...!Baraka bila pesa mtani!! hizo sio baraka bwana.
heeeee laiti ungewaona usingetype hapa hivi unataka nikupeleke ukawaone walivyo hahahaaaaaMsema kweli mpenz wa Mungu....
Kusema kweli hawa wadada nawapenda balaa...hata miandiko yao naipenda..yaani nikiona comment ya hao viumbe huwa nakuwa na hisia kalii...jf tunatambulika kwa nick name sawa, but nataman hawa watu niwaone hata mara moja...maana hisia zangu nahisi warembo balaa, any one amewahi kuwaona anitoe mawazoni, pengine sio attractive aniambie, nisiumie bureeee
mtani nawe huna unaowatafuta hapa jf au ndo unawatafuta kimyakimya[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]