bikira latifah
JF-Expert Member
- Oct 27, 2016
- 667
- 1,850
- Thread starter
-
- #141
Asiyeumwa Huo ugonjwa basi ni mgonjwaWallah hata mimi ndiyo ugonjwa wangu, mwembamba atokee tu. ..
Atakupendaje mwenyewe bana au kwa ajili ya hilo koti kama Father Christmas?Ha ha ha afu wewe jamaa acha hizo sio fresh.
Mdada kanipenda
Huku nako niliwekaga kambi sana miaka Fulani...Kumbe na huku unafikaga...
Afu nimeshangaa katujuaje wakati hana hata wiki.Atakupendaje mwenyewe bana au kwa ajili ya hilo koti kama Father Christmas?
Haya rudi kule ukaendelee kuwakusanya madogoHuku nako niliwekaga kambi sana miaka Fulani...
Siyo wivu, kwanza huyo Saint Ivuga ana dharau sana. Wewe unaeleza hisia za kweli yeye tayari ameni PM eti sijui unamtafutia nini wakati eti hakufagilii...Mimi namuangalia tu.Acha wivu
Ila nasikia tetesi kuwa Jukwaa hili na MMU huwa mnafanyanaga kweli...lakini mimi kila nikitupia ndoano yangu nikitoa nakuta chambo kimeliwa...Haya rudi kule ukaendelee kuwakusanya madogo
Watu wanapenda kujadili mambo ya kijinga lakini mambo ya maana hawataki.Thredi ka hii itafika hata pg 30, lakini weka thredi ya ujasiriamali, comments 3 tu.
HeeeWatu wanapenda kujadili mambo ya kijinga lakini mambo ya maana hawataki.
Umasikini wa fikra ni umasikini mbaya sana kuliko umasikini wa kipato.
HhhhhhAfu nimeshangaa katujuaje wakati hana hata wiki.
Au alikuwa nje kama guest. Au ni wewe una multiple IDs manake Steve Job akili nyingi sana wewe mzee
bora hata lizaboni kuliko utumbo uliondika wewe
Hapo awali nilidhani hakuna killazer kama mzurimie lakini hatimaye nimegundua wewe ni killazer kuliko mzurimie
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Jamani!Hivi Lizaboni ni Mwanaume,siku zote najua ni Elizabeth Bonifasi(Lizaboni)
Nini tena[emoji23] [emoji23] [emoji23] Jamani!
Ndo serikali ya viwanda iyo.Watu wanapenda kujadili mambo ya kijinga lakini mambo ya maana hawataki.
Umasikini wa fikra ni umasikini mbaya sana kuliko umasikini wa kipato.
Ha ha ha!!! Siku hadi mkono utaliwa. Kama huyo mtoto hapa ukiona kanianzishia thread ujue nishamaliza kazIla nasikia tetesi kuwa Jukwaa hili na MMU huwa mnafanyanaga kweli...lakini mimi kila nikitupia ndoao yangu nikitoa nakuta chambo kimeliwa...
Sasa kiongozi tumediscuss sana siasa ila mwisho wa siku ccm wameiba kura vile vile.. Ni kama ukoloni japo sio ukoloni dizaini udikteta.. Sasa si hatutaki kupoteza mudaWatu wanapenda kujadili mambo ya kijinga lakini mambo ya maana hawataki.
Umasikini wa fikra ni umasikini mbaya sana kuliko umasikini wa kipato.