Nawapenda sana wanaume hawa wa JF lakini sijui kama wanajua nnavyowazimikia Wallah!

Nawapenda sana wanaume hawa wa JF lakini sijui kama wanajua nnavyowazimikia Wallah!

Mshana Jr anatumia mitishamba kuwa na mvuto kwa wanawake wa jf [emoji23][emoji23]
 
bora hata lizaboni kuliko utumbo uliondika wewe

Hapo awali nilidhani hakuna killazer kama mzurimie lakini hatimaye nimegundua wewe ni killazer kuliko mzurimie

[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kumbe ulishamshtukia mkuu?Nahisi yule akili zake sio nzuri.
 
Ila nasikia tetesi kuwa Jukwaa hili na MMU huwa mnafanyanaga kweli...lakini mimi kila nikitupia ndoao yangu nikitoa nakuta chambo kimeliwa...
Ha ha ha!!! Siku hadi mkono utaliwa. Kama huyo mtoto hapa ukiona kanianzishia thread ujue nishamaliza kaz
 
Watu wanapenda kujadili mambo ya kijinga lakini mambo ya maana hawataki.

Umasikini wa fikra ni umasikini mbaya sana kuliko umasikini wa kipato.
Sasa kiongozi tumediscuss sana siasa ila mwisho wa siku ccm wameiba kura vile vile.. Ni kama ukoloni japo sio ukoloni dizaini udikteta.. Sasa si hatutaki kupoteza muda
 
Back
Top Bottom