Nawapenda sana wanaume hawa wa JF lakini sijui kama wanajua nnavyowazimikia Wallah!

Wanaume wenye I'D za kike mmekuwa kero siku hizi sijui mnajisikiaje ku act kikekike
Leo kaja na hii: wanawake hawa wa "jf" ni mfano wa kuigwa...nawapenda sana, ukiangalia eti kajiunga na JF juzi Alhamisi, sasa kamjuaje Lizaboni na wengineo! kazi ipo kwa kweli. wana kazi ya kufungua ID mpya kila siku
 
Dennis wewe ni kaka poa?
 
Leo kaja na hii: wanawake hawa wa "jf" ni mfano wa kuigwa...nawapenda sana, ukiangalia eti kajiunga na JF juzi Alhamisi, sasa kamjuaje Lizaboni na wengineo! kazi ipo kwa kweli. wana kazi ya kufungua ID mpya kila siku
Wacha porojo zako wewe. Kwani kuwajua member wa JF hadi na ww uwe member. Usimtibue bebi wangu
 
Afu nimeshangaa katujuaje wakati hana hata wiki.
Au alikuwa nje kama guest. Au ni wewe una multiple IDs manake Steve Job akili nyingi sana wewe mzee
Aiseee

Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
 
Leo kaja na hii: wanawake hawa wa "jf" ni mfano wa kuigwa...nawapenda sana, ukiangalia eti kajiunga na JF juzi Alhamisi, sasa kamjuaje Lizaboni na wengineo! kazi ipo kwa kweli. wana kazi ya kufungua ID mpya kila siku
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
 
ww ni bikra kweli?
 
Halafu mimi unanipendaga inbox tuu
 
Mbona mi hujanitaja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…