Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo kaja na hii: wanawake hawa wa "jf" ni mfano wa kuigwa...nawapenda sana, ukiangalia eti kajiunga na JF juzi Alhamisi, sasa kamjuaje Lizaboni na wengineo! kazi ipo kwa kweli. wana kazi ya kufungua ID mpya kila sikuWanaume wenye I'D za kike mmekuwa kero siku hizi sijui mnajisikiaje ku act kikekike
[emoji173] [emoji173] [emoji173]Sasa kiongozi tumediscuss sana siasa ila mwisho wa siku ccm wameiba kura vile vile.. Ni kama ukoloni japo sio ukoloni dizaini udikteta.. Sasa si hatutaki kupoteza muda
Dennis wewe ni kaka poa?Leo kaja na hii: wanawake hawa wa "jf" ni mfano wa kuigwa...nawapenda sana, ukiangalia eti kajiunga na JF juzi Alhamisi, sasa kamjuaje Lizaboni na wengineo! kazi ipo kwa kweli. wana kazi ya kufungua ID mpya kila siku
Wacha porojo zako wewe. Kwani kuwajua member wa JF hadi na ww uwe member. Usimtibue bebi wanguLeo kaja na hii: wanawake hawa wa "jf" ni mfano wa kuigwa...nawapenda sana, ukiangalia eti kajiunga na JF juzi Alhamisi, sasa kamjuaje Lizaboni na wengineo! kazi ipo kwa kweli. wana kazi ya kufungua ID mpya kila siku
Yaani kuna akina kk humu wana tabia zakike kikeWacha porojo zako wewe. Kwani kuwajua member wa JF hadi na ww uwe member. Usimtibue bebi wangu
Thnx kwa kunijibia my saintYaani kuna akina kk humu wana tabia zakike kike
Daah
????????????
AiseeeAfu nimeshangaa katujuaje wakati hana hata wiki.
Au alikuwa nje kama guest. Au ni wewe una multiple IDs manake Steve Job akili nyingi sana wewe mzee
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Leo kaja na hii: wanawake hawa wa "jf" ni mfano wa kuigwa...nawapenda sana, ukiangalia eti kajiunga na JF juzi Alhamisi, sasa kamjuaje Lizaboni na wengineo! kazi ipo kwa kweli. wana kazi ya kufungua ID mpya kila siku
Angalia post namba 167 alivyo jichanganya[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
Mungu anakuona ujue[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nyani ngabu
mh mi napita tu kiongozi[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji56] [emoji56] [emoji56]
Hahahahangoja watoke majumba ya kuabudu waje kukuthibitishia 'mahaba' ila jiandae kukabiliana na waliokutangulia. Rais wa wabeba mabokisi, Lizabon kateni rufaa ndani ya siku 3. haki haijatendeka
ww ni bikra kweli?1.Saint ivuga
2.kisu cha ngariba
3.BAK
4.mshana jr
Nawapenda sana yaani sanaaa my boys!
Lakini kuna hawa wafuatao sijui wamekula maharage ya wapii
1.lizaboni
Ningekuwa mod huyu ningempa ban ya maisha
Anapostigi utumbo tu
2.Le mburula nation
Huyu baba anatia kichefu chefu jamani
Anajifanya kijana kumbe ni kibabu,, ukimpa ukweli ni lazima [emoji357] litakuhusu
Ongezea mwingine .................
1.Saint ivuga
2.kisu cha ngariba
3.BAK
4.mshana jr
Nawapenda sana yaani sanaaa my boys!
Lakini kuna hawa wafuatao sijui wamekula maharage ya wapii
1.lizaboni
Ningekuwa mod huyu ningempa ban ya maisha
Anapostigi utumbo tu
2.Le mburula nation
Huyu baba anatia kichefu chefu jamani
Anajifanya kijana kumbe ni kibabu,, ukimpa ukweli ni lazima [emoji357] litakuhusu
Ongezea mwingine .................
Lv u moore bby
Mbona mi hujanitaja1.Saint ivuga
2.kisu cha ngariba
3.BAK
4.mshana jr
Nawapenda sana yaani sanaaa my boys!
Lakini kuna hawa wafuatao sijui wamekula maharage ya wapii
1.lizaboni
Ningekuwa mod huyu ningempa ban ya maisha
Anapostigi utumbo tu
2.Le mburula nation
Huyu baba anatia kichefu chefu jamani
Anajifanya kijana kumbe ni kibabu,, ukimpa ukweli ni lazima [emoji357] litakuhusu
Ongezea mwingine .................