Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Mke wa mtu unataka umpende ili iweje?haya!wewe ni miongoni mwa wanawake nisowapenda kabisa humu jf!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mke wa mtu unataka umpende ili iweje?haya!wewe ni miongoni mwa wanawake nisowapenda kabisa humu jf!!
We nyani mbona jamaa mmoja fresh sana humj ndani1.Saint ivuga
2.kisu cha ngariba
3.BAK
4.mshana jr
Nawapenda sana yaani sanaaa my boys!
Lakini kuna hawa wafuatao sijui wamekula maharage ya wapii
1.lizaboni
Ningekuwa mod huyu ningempa ban ya maisha
Anapostigi utumbo tu
2.Nyani ngabu
Yani huyu kaka ndio simuelewagi kabisa
Anaishi manzese darajani
lakini anajitamba humu kuwa yupo[emoji631] [emoji631]
Ongezea mwingine .................
Umejuaje ni wanaume?1.Saint ivuga
2.kisu cha ngariba
3.BAK
4.mshana jr
Nawapenda sana yaani sanaaa my boys!
Lakini kuna hawa wafuatao sijui wamekula maharage ya wapii
1.lizaboni
Ningekuwa mod huyu ningempa ban ya maisha
Anapostigi utumbo tu
2.Nyani ngabu
Yani huyu kaka ndio simuelewagi kabisa
Anaishi manzese darajani
lakini anajitamba humu kuwa yupo[emoji631] [emoji631]
Ongezea mwingine .................
Hwa wakishachuna, wanabadili ID ili wasiwachanganye mabuzi.Nna id ngapi?
My kka?
[emoji23] [emoji24] [emoji23]Thredi ka hii itafika hata pg 30, lakini weka thredi ya ujasiriamali, comments 3 tu.
Naipenda JF.Nimesahau kukuweka kwenye list ww
Ndio Tz yetu ilivyoThredi ka hii itafika hata pg 30, lakini weka thredi ya ujasiriamali, comments 3 tu.
Nimeshamtoa bbyWe nyani mbona jamaa mmoja fresh sana humj ndani
Yuko upand gan???? - or +Nimesahau kukuweka kwenye list ww
?Yuko upand gan???? - or +
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Lemutuz ataenda kukushitaki kwa Makonda bila shaka utatafutwa soon
C bure unatafuta Kiki au wewe ni mangeee1.Saint ivuga
2.kisu cha ngariba
3.BAK
4.mshana jr
Nawapenda sana yaani sanaaa my boys!
Lakini kuna hawa wafuatao sijui wamekula maharage ya wapii
1.lizaboni
Ningekuwa mod huyu ningempa ban ya maisha
Anapostigi utumbo tu
2.Lemutuz Nation
Huyu baba anatia kichefu chefu jamani
Anajifanya kijana kumbe ni kibabu,, ukimpa ukweli ni lazima [emoji357] litakuhusu
Ongezea mwingine .................
Unampenda ama?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nyani ngabu
Inahuuuu?C bure unatafuta Kiki au wewe ni mangeee
Ndo nini?Inahuuuu?
[emoji173] kabisaaUnampenda ama?
Umeelewaje?Ndo nini?