Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Kuna hawa pia Dr Adam Francis , Dr Adinan, Dr Ahmed Albah-Shahwa , Dr Akili , dr araki , Dr Bill, dr blessed , Dr., Dr. Ng'ida D. Mollel , DR. MWAKABANJESina hakika lakini nadhani udaktari wao ni wa heshima kama wale wabunge wetu kule mjengoni.. Hii inaleta uwiano mzuri sasa kwakuwa si lazima uwe mbunge ndio utunukiwe udaktari huo wa heshima
Napenda kumtambua DR BILGERT
Napenda kumtambua DR HAYA LAND
Napenda kumtambua Dr Lizzy
Napenda kumtambua Dr Matola PhD
Napenda kumtambua Dr. Mariposa
Itifaki imezingatiwa...! Asanteni sana kwa kuitoa JF kimasomaso lakini sio kiroho papo..!
Asante mtani ila nimekuhamu ujue.. Nina safari ya Viziwaziwa....Jf mahali pekee unaweza kuchati na Doctors watu na PhD zao tunao humu.
Jf taifa kubwa, mahali unaweza pata mwenza, msomi mwenye jina kubwa na heshima tele mtaani.
More respect to JF na heshima sana kwako Mshana Jr kwa kutambua hili.
Subiri watu tuone una nini ndani yako ndo uingie kwenye listUmenisahau Dr Rutagwerera Sr 😄
Haaaa haaaaa halafu ujue Padre anatufuatiliaga sometimes 🤣🤣 just callAsante mtani ila nimekuhamu ujue.. Nina safari ya Viziwaziwa....
Hii ya darasani au ya HeshimaUmenisahau Dr Rutagwerera Sr 😄
Acha ubaguzi broo ,kumbe una husda na I'd zingineSina hakika lakini nadhani udaktari wao ni wa heshima kama wale wabunge wetu kule mjengoni.. Hii inaleta uwiano mzuri sasa kwakuwa si lazima uwe mbunge ndio utunukiwe udaktari huo wa heshima
Napenda kumtambua DR BILGERT
Napenda kumtambua DR HAYA LAND
Napenda kumtambua Dr Lizzy
Napenda kumtambua Dr Matola PhD
Napenda kumtambua Dr. Mariposa
Napenda kumtambua Dr Rutagwerera Sr
Itifaki imezingatiwa...! Asanteni sana kwa kuitoa JF kimasomaso lakini sio kiroho papo..!
Haha ya heshima wa nyumbani.Hii ya darasani au ya Heshima
Aah wewe dokta kweli..hii ya sisi wa njia ya mkatoDr santos06
Here I am Depal